Trump na Elon sasa hawaivi, maadui kabisa!
Epstein files ni kitu gani? zina nini ndani? Umuhimu wake ni nini?
Nimejaribu kutafuta kwenye mitandao nikapata kitu kama hiki , na nikiri sikufanya undani sana maana ni kitu kinachohitaji muda mwingi kukitafuta kwa undani. Inawezekana nikawa nimeleta taarifaa isiyo rasmi sana.
Ni kitu gani nimepata
1. Jeffrey Epstein, alikuwa mtu tajiri sana. Utajiri wake haujulikani aliupataje maana bishara zake hazikuwa na nguvu ya hivyo kifedha
2. Alituhumiwa kwa makosa makubwa ya kufanya uhalifu mkubwa wa kila aina hasa kufanya ngono na watoto wadogo wa kike
3. Kufanya biashara ya kusafirisha wanawake kwa ajili ya ngono
4. Na makosa mengine makubwa makubwa ya uhalifu.
5. Katika chunguzi mbali mabli zilizofanya na FBI, CIA etcetc iligundulika/kulikuwa na fununu zisizothibitishwa kuwa alijihusisha na ujangiri wa hali ya juu.
6. Taasisi zilizokuwa zinamchunguza zina nyaraka nyingi nyingi sana na ndiyo zikawekwa pamoja kufanya kitu kinaitwa "Epstein file". Humo kuna kila tuhuma ambazo bado hazijathibitishwa...zikiwahusisha watu wengi wa nyadhifa za juu kutoka democrats na Republican.
SASA TRUMP ANAINGIAJE?
Inasemekana uhalifu huo alioufanya Epstein alikuwa na washirika wenzake matajiri . Hivyo Trump alihisiwa kuwa alikuwa mshirika wa uhalifu wa kingono na Epstein. Trump Aliwahi kukana kuhusika na Epstein ingawa alisema alikuwa rafiki yake kwa mbali for 15 yrs.
ELON MUSK INAELEKEA ANAJUA MADHAMBI YA TRUMP KATIKA SCANDAL ZA EPSTEIN NA KUWA ALISHIRIKI KATIKA UHALIFU HUO. ATATOA SIRI?
7. Epstein Alijiua akiwa katika federal jail in New York in 2019.