Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Ni kweli ndio mwenye nguvu zaidiLakini n rais, hiyo ndo point yangu.
Hapo huwa tunasema hela ni kila kitu ila kwa jinsi alivyofanyiwa Musk ni balaa
$150b kufutika mara moja sio mchezo
Ni kweli ndio mwenye nguvu zaidiLakini n rais, hiyo ndo point yangu.
Uzuri ni kwamba unaujua ukweli hvy sina haja ya kubishana na ww kwenye hili 😂Sasa Trump si ni sawa na Mwijaku tu au msukuma wa Geita vijijini!!. Trump nje ya utajiri wake hata ubalozi wa hapa napoishi Miami hapati😂😂🚶
Literature inasema alijiua! You might be true kuwa aliuawa asitoe siriEpstein hakujiua, walimuwahi wakamuua kabla hajabwaga manyanga kortini.
Ni kama issues ya Diddy tu. Na juzi trump kaulizwa kuhusu Diddy akatoa jibu matata tu