The expert Mlokole

The expert Mlokole

Anayeweza kututia majaribuni sisi walokole ni shetani peke yake! Kwa kuwa ulifanikiwa kumtia majaribuni mlokole, logically wewe ni ibilisi shetani, na ni sifa yako hiyo! wala usinitolee macho.

Ila sasa mbona yeye alikuwa mjuzi kuliko mimi Ibilisi shetani?!!
 
teh teh, The Boss umenikumbusha mdada m1 ye huwa anatoka na baba m1 mlokole. sa baada ya kubanjuka yule mbaba huweka gospel songs wanasikiza mpk wanasinzia. asubuhi yake yule mbaba huwa anapiga sala ya nguvu. . . mh me huwa nawauliza so huwa wanatubu baada ya game kisha wanarudia ama vp?
 
Last edited by a moderator:

wana vituko hawa aisee
na wa kwangu kwake ilikuwa tv ni atn tu
redio ni ya kilokole tu
hakuna clouds wala itv
 
the boss tupe the whole story dah!pleease bana dah!
sipati picha ulikuwaje mduchu!yethu tena maeneo ya 6 by 6 ulifanyaje sasa?

Hahaha wanaopenda chabo utawajua tu lol..jamaa unauchu kweli wa kutaka kujua
 
'Mlokole' my foot, kuna Mlokole wa dini as in dhehebu lkn si kweli ameokoka! Anakuwa ameokoka wakati anakata mauno, yaani ni bonge la kufuru; l wonder why they use that term in the first place!

Uko baharini (duniani) na unahangaika na mawimbi unajiita umeokoka? Kwanini usifike nchi kavu (mbinguni) ambapo una uhakika wa kutokurudi baharini ndipo useme umeokoka?
bila utakatifu hatuwezi kumwona MUNGU, na utakatifu tunatakiwa kuishi nao siku zote kwa kuwa hatujui saa wala siku ya unyakuo wa kanisa, so yatubidi tuwe wasafi duniani, kama huamini watakatifu duniani wapo, we subiri sala za marehemu sasa kama utaiona mbingu.
 
Roger that Mtakatifu Masele!
 
'Mlokole' my foot, kuna Mlokole wa dini as in dhehebu lkn si kweli ameokoka! Anakuwa ameokoka wakati anakata mauno, yaani ni bonge la kufuru; l wonder why they use that term in the first place!

Uko baharini (duniani) na unahangaika na mawimbi unajiita umeokoka? Kwanini usifike nchi kavu (mbinguni) ambapo una uhakika wa kutokurudi baharini ndipo useme umeokoka?

Kaunga umemaliza, i like this too!
 
May be ulimwendea kisimpo ukijua ni mlokole so akaamua akuadabishe
 
Kama nitakuwa na-offend kundi fulani la watu, naomba msamaha mapemaaa...
Yupo mdada mmoja ambaye kwa anavyofahamika, ni mlokole 'toka utotoni'. Baada ya kutumia gia kadhaa zinazotumika katika kuwapata hawa viumbe wa kundi hili, nilifanikiwa kumuingiza line. Huku kidume nikiamini kuwa leo naenda kutesa katoto kasikojua sawa mchezo, hasa nikizingatia uzoefu wangu kiasi fulani nilionao kwa magumegume, ebwana nilipigwa sapraizi vibaya!!!
Nilichezewa mchezo ambao sikuwahi kuuona neither kwa gumegume, nor kwa mwanamke yeyote katika historia yangu ya mapenzi. Sio siri, na tena nakiri kuwa hadi gemu linaisha asubuhi alikuwa akinicheka balaa, maana kama ingekuwa mpira ningekuwa nimechapwa 3-0, kitu ambacho hakijawahi kunitokea kwenye haya magemu.

Kumbe tusiwajaji watu kwa mwonekano wa nje...

Naenda kulala mie!
Aliyekuambia hako kamchezo kuna mahali pa kujifunza ni nani? Umechemka mwenyewe, huyo mlokole wako ni mbunifu, we umezoea kuegelezea ndo maana umechemka! Imekula kwako ukome!
 
Ila sasa mbona yeye alikuwa mjuzi kuliko mimi Ibilisi shetani?!!

We wala hukuwa mjuzi bana usijipaishe, ungekuwa mjuzi ungemshinda! Kwa maneno mengine mjuzi ni yule aliyemwezesha kufikia hicho kiwango!
 
Kuna kujifunza kwingi kaka inawezekana kafundwa Tanza huko then unamchukulia poa!
 
We wala hukuwa mjuzi bana usijipaishe, ungekuwa mjuzi ungemshinda! Kwa maneno mengine mjuzi ni yule aliyemwezesha kufikia hicho kiwango!

Ambaye ni shetani Ibilisi zaidi yangu?
 
Ambaye ni shetani Ibilisi zaidi yangu?

Hizo ni hulka za binadamu kukataza vitamu, kila kitamu utasikia Ibilisi, lakini haijalishi kafundwa na Allah au Ibilisi ukweli unabaki bro umechemka! Haya Tufanye amefundwa na Ibilisi, we Ibilisi ambaye hujaiva kilichokutuma uje ujisifu hapa jamvini ni nini? Pombe= Ibilisi, Sigara= Ibilisi, Mkwanja (Muziki)= Ibilisi, Vigodoro =Ibilisi, Vimodo= Ibilisi, pesa=Ibilisi, Warembo= Ibilisi, yan kila kitu. Mi simo bana
 
Kumbuka lakini kila mjanja ana mjanja wake (hata we una mjanja wako). Sikutarajia mjanja wangu angekuwa huyo kwa kweli...
 
Jamani, dini, sheria na taratibu ziko kwa ajili ya wanadamu ili wazifuate au wazivunje. Mlokole kuvunja amri ya 6 ni sehemu ya mwendelezo wa ubinadamu maana hayakuanza leo. Cha msingi ni kuwa yeyote mwenye shauku ya kweli ya kutekeleza amri za Mungu anahitaji sana kuwa karibu na muumba wake la sivyo atakwenda na maji.

Ikumbukwe hakuna dini rasmi (labda ya shetani) inayoruhusu UZINZI. Jiulize ukweli wewe muanzisha mada, dini yako inakuruhusu? Sasa una tofauti gani na huyo mzinzi mwenzako kushindwa kuhimili nguvu ya uzinzi?
 
Back
Top Bottom