Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
tangu lini serikali ikaanza kulisha wananchi. kuna nchi yoyote duniani ambayo wananchi wanalishwa na serikali? cheap point. think harder!Nchi isiyoweza kuwalisha karibu asilimia 80% ya wananchi wake ati mnasema mko food secure. Wi rach!
For the record, I studied economics in campus. If the data u have given us Is accurate then T.Z will lose this war brutally. T.Z needs Kenya more than Kenya needs T.Z.
First- T.Z exports goods worth 793 M dollars to KE. Also T.Z does not appear in the top 5 export destination for KE, infact we need UG more with export worth 534 M dollars (no.2 on the export list).
Waswahili chungeni msije mkajuta. Majuto ni mjukuu
Wewe ndio unakariri kaaka, au na wewe Kiingereza hujui?,
Sasa kama Tanzania haipo kwenye tano Bora zenu iweje Kenya na Tanzania Zitegemeane? Ndio maana nikasema Tanzania haiitaji Kenya kwa lolote kwa sababu hatuko kwenye hizo tano bora zenu
You are proving my point for mendio mnavyo danganywa sio?
mwaka jana. mlipata only 19% of what israel got.
kwanza ya yote, nyie hata top 5 hamjaingia. ety kenya namba 3, you wish.
View attachment 554357
you must be kidding me?
tangu lini serikali ikaanza kulisha wananchi. kuna nchi yoyote duniani ambayo wananchi wanalishwa na serikali? cheap point. think harder!
Sasa mbona mnalia kwa burn ya products zenu hapo Namanga?Tanzania haihitaji Kenya kivipi wakati kwa takwimu hizi sisi ndio taifa la pili kwa soko lenu. Huwa mnajitoa ufahamu kijinga wakati hamna sababu za kujigamba.
Nyie hapo hampo kwenye tano bora ya mataifa yanayoagiza kutoka Kenya licha ya kwamba mnaagiza bidhaa za mabilioni kutoka kwetu.
Sasa mbona mnalia kwa burn ya products zenu hapo Namanga?
Kenyan Presidential candidates mentioned the name of President Magufuli on their campaign rallies. Yes indeed you real need us because you've lost a values of being trusted by your own people! See!even if the data is cooked, we are not on the same level...tz is LDC of a lower class...
Japan is just barely 380K square kilometers in size Kenya mpo over 500K.Israel
Belgium
Chile
New Zealand
Tunisia
Portugal
South Korea (is the same size as Turkana County in Kenya)
Japan is as big as Kenya
Lol if you think size matters am sorry
Sent using Jamii Forums mobile app
One ur now making my point for meJapan is just barely 380K square kilometers in size Kenya mpo over 500K.
We ulisoma geography ya wapi?
Tanzania haihitaji Kenya kivipi wakati kwa takwimu hizi sisi ndio taifa la pili kwa soko lenu. Huwa mnajitoa ufahamu kijinga wakati hamna sababu za kujigamba.
Nyie hapo hampo kwenye tano bora ya mataifa yanayoagiza kutoka Kenya licha ya kwamba mnaagiza bidhaa za mabilioni kutoka kwetu.
According to you but facts zinashow different.... But haishangazi watanzania wengi hutumia asilimia moja ya akili zaoHivi unafikiri Tanzania itayumba kwa chochote ikifunga biashara na Kenya?, Kenya mnahiitaji sana Tanzania kuliko sisi tunavyowahitaji nyie
According to you but facts zinashow different.... But haishangazi watanzania wengi hutumia asilimia moja ya akili zao
Sent using Jamii Forums mobile app