Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
tangu lini serikali ikaanza kulisha wananchi. kuna nchi yoyote duniani ambayo wananchi wanalishwa na serikali? cheap point. think harder!Nchi isiyoweza kuwalisha karibu asilimia 80% ya wananchi wake ati mnasema mko food secure. Wi rach!