The facts: Why Kenya and Tanzania need each other

The facts: Why Kenya and Tanzania need each other

Nchi isiyoweza kuwalisha karibu asilimia 80% ya wananchi wake ati mnasema mko food secure. Wi rach!
tangu lini serikali ikaanza kulisha wananchi. kuna nchi yoyote duniani ambayo wananchi wanalishwa na serikali? cheap point. think harder!
 
70% ya export ya Kenya inatoka Tanzania na siku Tz ikiweka burn kwa makampuni yao ndi kwishney
 
For the record, I studied economics in campus. If the data u have given us Is accurate then T.Z will lose this war brutally. T.Z needs Kenya more than Kenya needs T.Z.
First- T.Z exports goods worth 793 M dollars to KE. Also T.Z does not appear in the top 5 export destination for KE, infact we need UG more with export worth 534 M dollars (no.2 on the export list).
Waswahili chungeni msije mkajuta. Majuto ni mjukuu

If Tanzania was landlock your comment would've made sense, but as long Tanzania is still surrounded with all those landlock countries, will be just fine. Imagine 10 yrs ago, export from Kenya to Tanzania was in Kenya's favour, now things are very different no wonder you see Nairobi are reacting.
 
Wewe ndio unakariri kaaka, au na wewe Kiingereza hujui?,
Sasa kama Tanzania haipo kwenye tano Bora zenu iweje Kenya na Tanzania Zitegemeane? Ndio maana nikasema Tanzania haiitaji Kenya kwa lolote kwa sababu hatuko kwenye hizo tano bora zenu

Tanzania haihitaji Kenya kivipi wakati kwa takwimu hizi sisi ndio taifa la pili kwa soko lenu. Huwa mnajitoa ufahamu kijinga wakati hamna sababu za kujigamba.
Nyie hapo hampo kwenye tano bora ya mataifa yanayoagiza kutoka Kenya licha ya kwamba mnaagiza bidhaa za mabilioni kutoka kwetu.
 
Sasa mbona mnalia kwa burn ya products zenu hapo Namanga?
 
Sasa mbona mnalia kwa burn ya products zenu hapo Namanga?

Uchumi wa Marekani umezidi wa Tanzania zaidI ya mara 100 lakini leo mkizuia bidhaa zao hata moja lazima watasema.
 
even if the data is cooked, we are not on the same level...tz is LDC of a lower class...
Kenyan Presidential candidates mentioned the name of President Magufuli on their campaign rallies. Yes indeed you real need us because you've lost a values of being trusted by your own people! See!
Somewhere the so called Low class sound important agenda to inspire your very own voters!
 
Israel
Belgium
Chile
New Zealand
Tunisia
Portugal
South Korea (is the same size as Turkana County in Kenya)
Japan is as big as Kenya
Lol if you think size matters am sorry

Sent using Jamii Forums mobile app
Japan is just barely 380K square kilometers in size Kenya mpo over 500K.
We ulisoma geography ya wapi?
 
Japan is just barely 380K square kilometers in size Kenya mpo over 500K.
We ulisoma geography ya wapi?
One ur now making my point for me

Pili "As big as Kenya", sijasema exactly equal to kenya dimwit...

Tatu Siku soma Geog' nlidrop geog nkafanya Phyc Highschool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania haihitaji Kenya kivipi wakati kwa takwimu hizi sisi ndio taifa la pili kwa soko lenu. Huwa mnajitoa ufahamu kijinga wakati hamna sababu za kujigamba.
Nyie hapo hampo kwenye tano bora ya mataifa yanayoagiza kutoka Kenya licha ya kwamba mnaagiza bidhaa za mabilioni kutoka kwetu.

Hivi unafikiri Tanzania itayumba kwa chochote ikifunga biashara na Kenya?, Kenya mnahiitaji sana Tanzania kuliko sisi tunavyowahitaji nyie
 
Hivi unafikiri Tanzania itayumba kwa chochote ikifunga biashara na Kenya?, Kenya mnahiitaji sana Tanzania kuliko sisi tunavyowahitaji nyie
According to you but facts zinashow different.... But haishangazi watanzania wengi hutumia asilimia moja ya akili zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom