The Final Farewell tukio la kuhuzunisha la Imam Hussain

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,583
Reaction score
4,776
Tunapoelekea Ashura siku ya alhamis tarehe 25 June 2025 tunakumbuka matukio aliyopitia kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji.

Kwenye picha hapo chini iliyopewa jina THE FINAL FAREWELL ni kipenzi chetu cha dhati akimuaga kwa mara ya mwisho kwa kumkumbatia mke wake kipenzi, Rubab bint Imra al-Qais kabla ya umauti kwenye battle of Ashura. Ni tukio lilojaa majonzi na simanzi.

Screenshot_20260415_124145_Chrome.jpg

The road to Karbala count down to glory ASHURA!

Akhi Jagina Intelligent businessman secretarybird Beira Boy MamaSamia2025 Al-mukheef The king 07

adriz de mbusii
 
Tunapoelekea Ashura siku ya alhamis tarehe 25 June 2025 tunakumbuka matukio aliyopitia kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji.

Kwenye picha hapo chini iliyopewa jina THE FINAL FAREWELL ni kipenzi chetu cha dhati akimuaga kwa mara ya mwisho kwa kumkumbatia mke wake kipenzi, Rubab bint Imra al-Qais. Ni tukio lilojaa majonzi na simanzi.

View attachment 3573063

Ni mwarabu. Ni mjukuu wa mtume kwa binti yake Fatima. Inasadikika Fatima na Mariam mama yake Yesu ndo wanawake pekee waliobarikiwa kuliko wanawake wote.

Kumbe haya majamaa alshabab bokoharam alqaida yalikuwemo tangia zamani.huwez tenganisha uislamu na ugaidi
 
Aisee....hebu muulize hapo wapi? Nakaribia kustaafu na hayo ndio maeneo ninayotamani kuishi.
 
Back
Top Bottom