The Final Farewell tukio la kuhuzunisha la Imam Hussain

The Final Farewell tukio la kuhuzunisha la Imam Hussain

Tunapoelekea Ashura siku ya alhamis tarehe 25 June 2025 tunakumbuka matukio aliyopitia kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji.

Kwenye picha hapo chini iliyopewa jina THE FINAL FAREWELL ni kipenzi chetu cha dhati akimuaga kwa mara ya mwisho kwa kumkumbatia mke wake kipenzi, Rubab bint Imra al-Qais kabla ya umauti kwenye battle of Ashura. Ni tukio lilojaa majonzi na simanzi.

View attachment 3573063

The road to Karbala count down to glory ASHURA!

Akhi Jagina Intelligent businessman secretarybird Beira Boy MamaSamia2025 Al-mukheef The king 07

adriz de mbusii
Mke wangu bibie BICHWA KOMWE -, nitamkumbatia kwa hisia kabla sijaenda kupigana vita vya kiimani.
 
Back
Top Bottom