Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Ni mwarabu. Ni mjukuu wa mtume kwa binti yake Fatima. Inasadikika Fatima na Mariam mama yake Yesu ndo wanawake pekee waliobarikiwa kuliko wanawake wote.Ni mwaarabu au mweusi mwenzetu?
Tunapoelekea Ashura siku ya alhamis tarehe 25 June 2025 tunakumbuka matukio aliyopitia kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji.
Kwenye picha hapo chini iliyopewa jina THE FINAL FAREWELL ni kipenzi chetu cha dhati akimuaga kwa mara ya mwisho kwa kumkumbatia mke wake kipenzi, Rubab bint Imra al-Qais. Ni tukio lilojaa majonzi na simanzi.
View attachment 3573063
The road to Karbala count down to glory ASHURA!
Akhi Jagina Intelligent businessman secretarybird Beira Boy MamaSamia2025 Al-mukheef The king 07
adriz de mbusii
TakbiirKwenye picha hapo chini iliyopewa jina THE FINAL FAREWELL ni kipenzi chetu cha dhati akimuaga kwa mara ya mwisho kwa kumkumbatia mke wake kipenzi, Rubab bint Imra al-Qais. Ni tukio lilojaa majonzi na simanzi.
Tunapoelekea Ashura siku ya alhamis tarehe 25 June 2025 tunakumbuka matukio aliyopitia kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji.
Kwenye picha hapo chini iliyopewa jina THE FINAL FAREWELL ni kipenzi chetu cha dhati akimuaga kwa mara ya mwisho kwa kumkumbatia mke wake kipenzi, Rubab bint Imra al-Qais. Ni tukio lilojaa majonzi na simanzi.
View attachment 3573063
The road to Karbala count down to glory ASHURA!
Akhi Jagina Intelligent businessman secretarybird Beira Boy MamaSamia2025 Al-mukheef The king 07
adriz de mbusii
Ni mwarabu. Ni mjukuu wa mtume kwa binti yake Fatima. Inasadikika Fatima na Mariam mama yake Yesu ndo wanawake pekee waliobarikiwa kuliko wanawake wote.
Na Vale Nafaka pia kabarikiwa.Ni mwarabu. Ni mjukuu wa mtume kwa binti yake Fatima. Inasadikika Fatima na Mariam mama yake Yesu ndo wanawake pekee waliobarikiwa kuliko wanawake wote.
Aisee....hebu muulize hapo wapi? Nakaribia kustaafu na hayo ndio maeneo ninayotamani kuishi.