jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
Haya....rudi kule ukanigongee ka LIKE, vinginevyo naenda kukidiliti hicho kichekesho............
Rocky banaa hebu sema ukweli acha kunisingizia lol
Kagonge LIKE kule wewe, acha longolongo!Congratulations guys, mnakubalika.
jouneGwalu kiongozi wa uchakachuaji ni Asprin lolAh Saas hawa watu ni wanachakachua sred balaaaa!
Cheki walivyoitenda sred hii...
Lol....
Sure ila hata mimi hawa watu wananikuna sana!
Sred yangu ikichangiwa na hawa tu (simaanishi wengine siwaheshimu)!
Nasuuzika sana hata kama nitapata michango yao tu!
With "them" JF imebarikiwa sana, na inasonga mbele!
Dah!!! Nilifikiri bado umelala kumbe umeamka tayariTF tuongee taratibu AD wala AshaDii wala DA wasisikie
kule jukwa la picha wafuata nini kama sio unatega mitego yako
Na wewe kujifanya unapenda issue za wavaa nguo za kubana uliweka ili uvutie soko au ilikuwaje
Ebo sikujua You = Blaki Womani........Kuanzia leo ntakua nakuita YUU! Itanipunguzia muda na nguvu za kuvipiga vidole hivi vibatani vya kiibodi ya PC ya mkoloni wangu....You, MwanajamiiOne and Kimey like this.
Babu miwani imeambukizwa mate ya ugoro............... hebu AD mpeleke Babu chai haraka
Dah!!! Nilifikiri bado umelala kumbe umeamka tayari
Yaani mara hii nimekuwa AlienNaweza sema kwa ukweli na uhakika kabisa Wakuu you deserve
Congratulation bana na penye ukweli lazima tuseme ila TF usiote kichwa
AD natamani nikuone ukiwa hivyo
TF tuongee taratibu AD wala AshaDii wala DA wasisikie
kule jukwa la picha wafuata nini kama sio unatega mitego yako
Na wewe kujifanya unapenda issue za wavaa nguo za kubana uliweka ili uvutie soko au ilikuwaje
Yaani mara hii nimekuwa Alien
ahhhhhhhhh hivi kumbeee..
lol....jamani, bado hujanisoma tu?....haya bana...
kwa tafsiri yangu, kuna engagement ring na wedding ring...
tatizo mijitu inakurupuka na 'will you marry' me hata mtu hujamjua vizuri wala
nia ya kuoa kweli hana uhakika nayo...matokeo yake ndio hayo ya kupigwa kibuti hadharani...
Kwamba Rocky anapenda kunisingizia na kunichimba hata hilo unalijuaahhhhhhhhh hivi kumbeee..
Mkuu taratibu
Yaani umekaa na mtu miaka kadhaa na mkiwa na lengo kuwa mje muishi pamoja na then siku ya siku anakuambia NO
Afu hapa nafikiri sio mahali pake
Hapa tunawapa pongezi AD,TF,AD,MBU,MMJ1 bana
Aisee!!! Mkuu endelea kukimbia kesi yangu, soulmate will be under arrest ukisikia hivyo najua utakuja tu.lol....jamani, bado hujanisoma tu?....haya bana...
kwa tafsiri yangu, kuna engagement ring na wedding ring...
tatizo mijitu inakurupuka na 'will you marry' me hata mtu hujamjua vizuri wala
nia ya kuoa kweli hana uhakika nayo...matokeo yake ndio hayo ya kupigwa kibuti hadharani...
Kwamba Rocky anapenda kunisingizia na kunichimba hata hilo unalijua