The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo

The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo

Ah Saas hawa watu ni wanachakachua sred balaaaa!
Cheki walivyoitenda sred hii...
Lol....
Sure ila hata mimi hawa watu wananikuna sana!
Sred yangu ikichangiwa na hawa tu (simaanishi wengine siwaheshimu)!
Nasuuzika sana hata kama nitapata michango yao tu!
With "them" JF imebarikiwa sana, na inasonga mbele!
 
jouneGwalu kiongozi wa uchakachuaji ni Asprin lol
 
TF tuongee taratibu AD wala AshaDii wala DA wasisikie
kule jukwa la picha wafuata nini kama sio unatega mitego yako
Na wewe kujifanya unapenda issue za wavaa nguo za kubana uliweka ili uvutie soko au ilikuwaje
Dah!!! Nilifikiri bado umelala kumbe umeamka tayari
 
Naweza sema kwa ukweli na uhakika kabisa Wakuu you deserve
Congratulation bana na penye ukweli lazima tuseme ila TF usiote kichwa
 
Dah!!! Nilifikiri bado umelala kumbe umeamka tayari

Nilikuwa napitia forum zote za hili jukwa niangalie umeenda kuchakachua wapi ila bahati yako sijaona ulipokimbilia
tangazo limetolewa mtu akikuona popote awasilishe t7aarifa kituo chochote cha jukwa hili kilicho karibu
 
lol....jamani, bado hujanisoma tu?....haya bana...
kwa tafsiri yangu, kuna engagement ring na wedding ring...

tatizo mijitu inakurupuka na 'will you marry' me hata mtu hujamjua vizuri wala
nia ya kuoa kweli hana uhakika nayo...matokeo yake ndio hayo ya kupigwa kibuti hadharani...

Mkuu taratibu
Yaani umekaa na mtu miaka kadhaa na mkiwa na lengo kuwa mje muishi pamoja na then siku ya siku anakuambia NO

Afu hapa nafikiri sio mahali pake
Hapa tunawapa pongezi AD,TF,AD,MBU,MMJ1 bana
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu taratibu
Yaani umekaa na mtu miaka kadhaa na mkiwa na lengo kuwa mje muishi pamoja na then siku ya siku anakuambia NO

Afu hapa nafikiri sio mahali pake
Hapa tunawapa pongezi AD,TF,AD,MBU,MMJ1 bana

you are damn right, sijui nime quote vipi mpka ikaja huku.
poleni kwa usumbufu...arrrgghhh. uzee huuu
 
lol....jamani, bado hujanisoma tu?....haya bana...
kwa tafsiri yangu, kuna engagement ring na wedding ring...

tatizo mijitu inakurupuka na 'will you marry' me hata mtu hujamjua vizuri wala
nia ya kuoa kweli hana uhakika nayo...matokeo yake ndio hayo ya kupigwa kibuti hadharani...

Aisee!!! Mkuu endelea kukimbia kesi yangu, soulmate will be under arrest ukisikia hivyo najua utakuja tu.
 
Kwamba Rocky anapenda kunisingizia na kunichimba hata hilo unalijua

Hapana sikusingizii nasema ukweli na nitasema ukweli daima uwongo kwangu mwiko
Na nasema hivyo ili utoke kwenye hicho kibox ulichojifungia uone nje
Tunasema open the pandora box and see the reality
 
Back
Top Bottom