The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo

The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo

you are damn right, sijui nime quote vipi mpka ikaja huku.
poleni kwa usumbufu...arrrgghhh. uzee huuu

Afu naona hapa kesi yako na TF inabidi ipate msuluhishi ambaye atakuwa neutral maana hakuna anayekubali kushindwa
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hapana sikusingizii nasema ukweli na nitasema ukweli daima uwongo kwangu mwiko
Na nasema hivyo ili utoke kwenye hicho kibox ulichojifungia uone nje
Tunasema open the pandora box and see the reality
Nimekujibu swali lako uliloniuliza kule kwenye thread ya Love
 
...acha tu...mpaka mtu mzima naadhirika na post kimakosa kwenye sirediz za watu,...aarrgghh

tatizo la kupenda sehem moja mnajikuta na conflict of interest na hakuna anayekubali kustep aside and let the river flow
 
tatizo la kupenda sehem moja mnajikuta na conflict of interest na hakuna anayekubali kustep aside and let the river flow

...lol...the finest anapewa moyo "asijiue!"...lakini mwenyewe anajijua cheo chake, lol..

Mbu mbona nilipoangalia age yako niliona ni miaka 27

...ahahaa, life span bana,....27 is the new 72...mgao wa umeme, foleni, mbu, vumbi, ukata,
shilingi kupoteza thamani...lazima uzeeke kabla ya umri!
 
...dahhh, naamini bwana Saas ameridhika nilivyompiga taff kwenye post yake hii,...
saas karibu jf bana... usijiskie mnyonge...tatizo tangu ubandike nawewe ume myuti...
ndio maana watu hujionea uvivu ku post...

anyway, karibu tena.
am out now..
 
Mbu mbona nilipoangalia age yako niliona ni miaka 27

Rocky nitakupeleka The Hague muda si mrefu

Hilola umri wa Mbu ni questionable maana kila siku anashusha umri badala ya kupandisha

TF nimefanya nini tena si nasema ukweli kuwa kuna conflict of interest kati yako na Mbu au mmependa sehem moja halafu hakuna anayekubalia kuachia flow of the river
 
Saas unajua hii thread ungeandika mabingwa wa kuchakachua thread umeona walivoitendea haki? Shida yako umeanzisha thread halafu ukaingia mitini
 
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???

Kila mtu na karama yake aliyojaaliwa....Mfano klorokwini, sidhani kama amewahi kuanzisha thread hapa. Lakini ni mchangiaji mzuri sana, na ni bonge la entertainer!!
 
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???

umejiunga 21st august ... observation hiyo umfanya siku kadhaa tu!!....
 
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???
sasa wewe umekuja jana, nyumba huifahamu vyema, unaparamia ni mijadala funny funny unadhani watu watakuelewa kweli? hawa watu ni wazoefu wanajua ni kipi cha kuandika na kipi hakifai, ni kipi chenye mvuto na kipi hakina. Tena katika mijadala yao nyingi wao huandika facts na sio fictions na ndio maana watu hungangania nafasi kujadili kabla thread haijajaa. hata hivyo ningewaomba watoe nasaha jinsi ya kuandika thread kwa wenzao wasiwe wachoyo.
 
Saas unajua hii thread ungeandika mabingwa wa kuchakachua thread umeona walivoitendea haki? Shida yako umeanzisha thread halafu ukaingia mitini
Sijaingia mitini Dena
 
Back
Top Bottom