you are damn right, sijui nime quote vipi mpka ikaja huku.
poleni kwa usumbufu...arrrgghhh. uzee huuu
Afu naona hapa kesi yako na TF inabidi ipate msuluhishi ambaye atakuwa neutral maana hakuna anayekubali kushindwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you are damn right, sijui nime quote vipi mpka ikaja huku.
poleni kwa usumbufu...arrrgghhh. uzee huuu
Afu naona hapa kesi yako na TF inabidi ipate msuluhishi ambaye atakuwa neutral maana hakuna anayekubali kushindwa
Nimekujibu swali lako uliloniuliza kule kwenye thread ya LoveHapana sikusingizii nasema ukweli na nitasema ukweli daima uwongo kwangu mwiko
Na nasema hivyo ili utoke kwenye hicho kibox ulichojifungia uone nje
Tunasema open the pandora box and see the reality
Nimekujibu swali lako uliloniuliza kule kwenye thread ya Love
...acha tu...mpaka mtu mzima naadhirika na post kimakosa kwenye sirediz za watu,...aarrgghh
Mbu mbona nilipoangalia age yako niliona ni miaka 27
...acha tu...mpaka mtu mzima naadhirika na post kimakosa kwenye sirediz za watu,...aarrgghh
Rocky nitakupeleka The Hague muda si mrefutatizo la kupenda sehem moja mnajikuta na conflict of interest na hakuna anayekubali kustep aside and let the river flow
hahahah ntakutumia picha..
najifungua mwakani mwezi wa tano ....
tatizo la kupenda sehem moja mnajikuta na conflict of interest na hakuna anayekubali kustep aside and let the river flow
Mbu mbona nilipoangalia age yako niliona ni miaka 27
Mbu mbona nilipoangalia age yako niliona ni miaka 27
Rocky nitakupeleka The Hague muda si mrefu
The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo..
Hongereni...nawaonea wivu..lol
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???

sasa wewe umekuja jana, nyumba huifahamu vyema, unaparamia ni mijadala funny funny unadhani watu watakuelewa kweli? hawa watu ni wazoefu wanajua ni kipi cha kuandika na kipi hakifai, ni kipi chenye mvuto na kipi hakina. Tena katika mijadala yao nyingi wao huandika facts na sio fictions na ndio maana watu hungangania nafasi kujadili kabla thread haijajaa. hata hivyo ningewaomba watoe nasaha jinsi ya kuandika thread kwa wenzao wasiwe wachoyo.Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???
Bujibuji bwana na wewembona na yako ina wachangiaji wengi? Au hujaona?
Sijaingia mitini DenaSaas unajua hii thread ungeandika mabingwa wa kuchakachua thread umeona walivoitendea haki? Shida yako umeanzisha thread halafu ukaingia mitini