The full list of winners of African Leadership Magazine (ALM) Persons of the Year 2020. Hongera sana Rais Dkt. John Magufuli

Hiyo ya Jonathan ya Peace and Security imeniacha na maswali.

Hongera kwa wote na washiriki walioshindwa pia.

#GameOfThrones
 
List imejaa west africa hasa nigeria na ghana. hii maana yake nini
 
Wewe ndio umeweka upumbavu huo ili loser Magu aonekane

Propaganda bwana,halafu u think people will buy that nonsense
hivi si unaweza ku Google ingia kwenye website ukathibitishe mwenyewe. Kwanini udanganywe wakati kila kitu kipo kiganganjani mwako. nenda kwenye website katafute
 
Leo nimeamini mashabiki wa ccm ni mataahira. Mnampongeza mtu ambaye hajashinda? Mods naomba nyuzi zote za haya mataahira muwe mnazifyekelea mbali maana ni kichefuchefu tu.
Nadhan wewe ndie taahira kiongozi
 
Kwa ulicho andika hapa unaonesha ni kiasi gani magufuli hapendwi na watanzania.
Tunaweza kukwazana na tukakuona kwa jicho lá makengeza humu ndani, lakini inapotokea ushindani ni Magufuli na kiongozi yeyote nje ya nchi yangu niipendayo Tanzania,

Ukigushwa na mtu njee ya nchi yangu, Magufuli ni Rais wangu na hana Mshindani. Hongera Rais wangu. Ado ni Rais wa Ghana.
 
BAVICHA hajawai kuwa na nidhani kichwani, aliki zao ni kama za akina Bob wine macho mekuuuuunduuuu
 
Mataga mnajifariji baada ya mbinu zenu za kuhamasishana kupiga kura kufail,....

Mlikuwa mnanunuliana vocha ,mwishoe mmefeli.....

Mshindi ni mmoja tu....(no.01)...achen kujiliwaza
Inakuuma Mkuu jamaa kuwepo nafasi ya pili.
Tuachane na porojo tufanye kazi tu.
 
Hongera Dr.Magufuli,ukimaliza mitano,Nigeria, Angola wanakuhitaji.
 
Nitampongeza kama atashinda tuzo ya Mo Ibrahim. Hizi tuzo feki zinatupotezea muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…