Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siajabu tangia uanze kusoma hujawai hata kushika nafasi ya 20 darasani polee sanaKashindwa hakunaga washindi 2
kauwaulize U. K magazine sio sisi.Mmmh! Ama kweli maccm ni majuha kabida ( Winner & Runner up) hivi mshindi ni nani hapo?
hivi si unaweza ku Google ingia kwenye website ukathibitishe mwenyewe. Kwanini udanganywe wakati kila kitu kipo kiganganjani mwako. nenda kwenye website katafuteWewe ndio umeweka upumbavu huo ili loser Magu aonekane
Propaganda bwana,halafu u think people will buy that nonsense
Nadhan wewe ndie taahira kiongoziLeo nimeamini mashabiki wa ccm ni mataahira. Mnampongeza mtu ambaye hajashinda? Mods naomba nyuzi zote za haya mataahira muwe mnazifyekelea mbali maana ni kichefuchefu tu.
BAVICHA hawana jipya kila sehemu tunawakimbiza tu sasa wamebaki washabiki wa BOB WINENadhan wewe ndie taahira kiongozi
Tunaweza kukwazana na tukakuona kwa jicho lá makengeza humu ndani, lakini inapotokea ushindani ni Magufuli na kiongozi yeyote nje ya nchi yangu niipendayo Tanzania,Kwa ulicho andika hapa unaonesha ni kiasi gani magufuli hapendwi na watanzania.
BAVICHA hajawai kuwa na nidhani kichwani, aliki zao ni kama za akina Bob wine macho mekuuuuunduuuuTunaweza kukwazana na tukakuona kwa jicho lá makengeza humu ndani, lakini inapotokea ushindani ni Magufuli na kiongozi yeyote nje ya nchi yangu niipendayo Tanzania,
Ukigushwa na mtu njee ya nchi yangu, Magufuli ni Rais wangu na hana Mshindani. Hongera Rais wangu. Ado ni Rais wa Ghana.
Inakuuma Mkuu jamaa kuwepo nafasi ya pili.Mataga mnajifariji baada ya mbinu zenu za kuhamasishana kupiga kura kufail,....
Mlikuwa mnanunuliana vocha ,mwishoe mmefeli.....
Mshindi ni mmoja tu....(no.01)...achen kujiliwaza
“Thank you for stepping forward for our President and your country,BAVICHA hajawai kuwa na nidhani kichwani, aliki zao ni kama za akina Bob wine macho mekuuuuunduuuu
Walishachanganyikiwa, hao nyumbu.Wafuasi wa chadema utafikiri siyo raia
Chadema wali hack website"Aisee" mmemnyima ushindi mzee baba mkampa Nana.
For what? Amepata tuzo gani?Hongera rais wangu John Pombe Magufuli