The future of EDEN HAZARD

The future of EDEN HAZARD

Barack11

Member
Joined
Apr 25, 2019
Posts
87
Reaction score
122
I am a true fan of CHELSEA fc and I see the next king of Real Madrid is the Chelsea super Star eden hazard. The Belgium is happy at Chelsea but he is very interested to his future club at Spain. All the best #Garden of Eden
 
28 years old
Kwahyo msimu ujao akienda madrid atakuwa na 29, ana kibarua kigumu cha kuwa mfalme pale, kwa makadiro ya juu kabisa ana miaka km 3-5 ya kucheza kwa kiwango kizuri ndani ya muda huo ahakikishe amewapa madrid kila kitu, ndio atakuwa mfalme wa pale, ahakikishe madrid sio dhaifu mbele ya barca na messi wao, hv hv atakuwa mfalme wa kupangwa kwenye kikosi cha kwanza tu namaanisha atakuwa mchezaji tegemezi na sio shujaa(mfalme)
 
Correct but, Hazard alikua na ndoto ya kuja kuichezea club kubwa duniani means, Real Madrid and I think atafanya vizuri zaidi ilikufikia lengo na kupita mule walipopita ma legends kama CR7 the next 3 years is enough for him
 
Hazard haendi Madrid.... mark my words...
 
tetesi za hazard kwenda madrid hazijaanza msimu huu...ila kama ulivyosema tusubiri tuone
Tetesi zina sema makubaliano yashafanyika nyuma ya pazia kati ya hizo club mbili. Tusubiri tubiri tuone
 
Back
Top Bottom