Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo msimu ujao akienda madrid atakuwa na 29, ana kibarua kigumu cha kuwa mfalme pale, kwa makadiro ya juu kabisa ana miaka km 3-5 ya kucheza kwa kiwango kizuri ndani ya muda huo ahakikishe amewapa madrid kila kitu, ndio atakuwa mfalme wa pale, ahakikishe madrid sio dhaifu mbele ya barca na messi wao, hv hv atakuwa mfalme wa kupangwa kwenye kikosi cha kwanza tu namaanisha atakuwa mchezaji tegemezi na sio shujaa(mfalme)28 years old
Correct but, Hazard alikua na ndoto ya kuja kuichezea club kubwa duniani means, Real Madrid and I think atafanya vizuri zaidi ilikufikia lengo na kupita mule walipopita ma legends kama CR7 the next 3 years is enough for himKwahyo msimu ujao akienda madrid atakuwa na 29, ana kibarua kigumu cha kuwa mfalme pale, kwa makadiro ya juu kabisa ana miaka km 3-5 ya kucheza kwa kiwango kizuri ndani ya muda huo ahakikishe amewapa madrid kila kitu, ndio atakuwa mfalme wa pale, ahakikishe madrid sio dhaifu mbele ya barca na messi wao, hv hv atakuwa mfalme wa kupangwa kwenye kikosi cha kwanza tu namaanisha atakuwa mchezaji tegemezi na sio shujaa(mfalme)
Hazard haendi Madrid.... mark my words...Correct but, Hazard alikua na ndoto ya kuja kuichezea club kubwa duniani means, Real Madrid and I think atafanya vizuri zaidi ilikufikia lengo na kupita mule walipopita ma legends kama CR7 the next 3 years is enough for him
Tetesi zina sema makubaliano yashafanyika nyuma ya pazia kati ya hizo club mbili. Tusubiri tubiri tuone