The General meeting: Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza mkutano mkuu wa 10 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi Feb 1977 kwa mafanikio

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029

Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Watanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM akiongoza kikao cha mkutano mkuu wa 10 Jijini Dodoma leo 07|12|2022

Wajumbe zaidi ya 1,900 wakifuatilia mkutano wa kwa makini chini ya Mwenyekiti wao Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan mapema Leo, "Unaweza ukaona Ukumbi namna ulivyopendeza kwa kupambwaa na rangi za kijani "


Katibu Mkuu wa Ccm-tanzania Mhe Daniel Chongolo akitoa mwongozo kwa Wajumbe na Meza wakati wa mkutano Mkuu hii Leo,


Baadhi ya Wajumbe wakifuatilia mkutano mkuu wa 10 kwa Makini,

Baadhi ya Wajumbe kutoka Zanzibar wakifuatilia mkutano Mkuu wa 10 kwa Makini

Hili ndilo bashasha la Wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 Jijini Dodoma,
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kuchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Tanzania Bara katika Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma
 
Huo Mkutano hufanyika Kila baada ya miaka mingapi?
 

Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Watanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM akiongoza kikao cha mkutano mkuu wa 10 Jijini Dodoma leo 07|12|2022


Wajumbe zaidi ya 1,960 wakifuatilia mkutano wa kwa makini chini ya Mwenyekiti wao Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan mapema Leo, "Unaweza ukaona Ukumbi namna ulivyopendeza kwa kupambwaa na rangi za kijani "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…