CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Watanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM akiongoza kikao cha mkutano mkuu wa 10 Jijini Dodoma leo 07|12|2022
Wajumbe zaidi ya 1,900 wakifuatilia mkutano wa kwa makini chini ya Mwenyekiti wao Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan mapema Leo, "Unaweza ukaona Ukumbi namna ulivyopendeza kwa kupambwaa na rangi za kijani "
Katibu Mkuu wa Ccm-tanzania Mhe Daniel Chongolo akitoa mwongozo kwa Wajumbe na Meza wakati wa mkutano Mkuu hii Leo,
Baadhi ya Wajumbe wakifuatilia mkutano mkuu wa 10 kwa Makini,
Baadhi ya Wajumbe kutoka Zanzibar wakifuatilia mkutano Mkuu wa 10 kwa Makini
Hili ndilo bashasha la Wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 Jijini Dodoma,
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kuchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Tanzania Bara katika Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma