THE GOAT WHO STOOD FIRM: Nguvu ya Simba, Ukaidi wa Mbuzi

Ukiona nguvu nyingi jua ujinga umekishika kichwa.
Torati ya Mtaa "Usiwe Fala"
eca.jpeg
 
Leo Nampa heshima mtu mmoja.

Max Mello Mmiliki wa Jamiiforums.

Katika kipindi ambacho serikali ilimuwinda, ikimtaka atoee siri za wachangiaji mada mbalimbali... alisimama imara.

Hakutetemeka. Hakutoa hata taarifa moja binafsi ya mchangiaji yeyote.

Alilinda faragha. Alilinda uhuru wa watu kusema. Alilinda JamiiForums isibadilike kuwa chombo cha kutoa Siri za watu.

Picha hii inazungumza yenyewe. Nyuma yake kuna MBUZI na SIMBA - Nguvu ya Simba, Ukaidi wa Mbuzi.

Na hapo ndipo anaposimama Max. Kama GOAT yaan The Greatest Of All Time. Katika Tasnia ya kulinda uhuru wa Habari

Asante Max kwa kuonyesha kuwa kanuni zina thamani kuliko hofu.
Tunasimama nawe. #IStandWithMax #JamiiForums #FreedomOfSpeechGOAT

Tunaandika haya tukijua fika figusu ni nyingi sana kutoka sehemu na mashinkizo ila wewe ni mwamba sana!

View attachment 3638255
Britanicca
Serikali ingekuwa na akili huyu angefaa awe waziri ama mkurugenzi ndani ya wizara flani...eti serikali inamuacha halafu huyu huyu jamaa ambaye matako yake yanakua kama ya kondoo huku mapaja yakimbana na matege yakiongezeka na akili yake mbovu ni waziri...
 
Tunasimama nawe." *#IStandWithMax *#JamiiForums #FreedomOfSpeechGOAT
 
Hivi huyu jamaa ni muhaya?
Ndiyo;Muhaya aliyekopi unyenyekevu wa Ki- Mwanza Mwanza hasa Usukuma.Nadhani kusoma Bwiru Boys pale kumechangia kumtoa kwenye kona ya Majivuno Majivuno..

Ana mchanganyiko wa Marafiki wa kila aina na kila kada.Hata alipoanza kuzongwa na Kesi..Mawakili na Watetezi wa Kila aina walikuwa wanaibuka tena katika utaratibu usio rasmi wakiwa tayari kumtetea...mpaka akina Antipus Lissu walitimba Mahakamani na mafaili yao na mavitabu makubwa makubwa...kwa kupata taarifa kupitia tu vyombo vya habari.
 
Tukiwaambia vijana selikali imepewa onyo kila kona hadi juzi (CMG) ya Commonwealth imewapa Ultimum.

Selikali inafungia mitandao ya kijamii
(X nk.
Inazuia uhuru wa vyombo vya habari nk
Inakandamiza uhuru wa kutoa maoni nk

Alafu kuna wale machizi na Machawa bado wako Upande wa watesi wetu na Kutwa wanashinda hapa Jukwaani.

Sema muda umenibana sana ningewashughulikia sana wale ndezi.
 
Leo Nampa heshima mtu mmoja.

Max Mello Mmiliki wa Jamiiforums.

Katika kipindi ambacho serikali ilimuwinda, ikimtaka atoee siri za wachangiaji mada mbalimbali... alisimama imara.

Hakutetemeka. Hakutoa hata taarifa moja binafsi ya mchangiaji yeyote.

Alilinda faragha. Alilinda uhuru wa watu kusema. Alilinda JamiiForums isibadilike kuwa chombo cha kutoa Siri za watu.

Picha hii inazungumza yenyewe. Nyuma yake kuna MBUZI na SIMBA - Nguvu ya Simba, Ukaidi wa Mbuzi.

Na hapo ndipo anaposimama Max. Kama GOAT yaan The Greatest Of All Time. Katika Tasnia ya kulinda uhuru wa Habari

Asante Max kwa kuonyesha kuwa kanuni zina thamani kuliko hofu.
Tunasimama nawe. #IStandWithMax #JamiiForums #FreedomOfSpeechGOAT

Tunaandika haya tukijua fika figusu ni nyingi sana kutoka sehemu na mashinkizo ila wewe ni mwamba sana!

View attachment 3638255
Britanicca
Ngoja nami nikwambie jambo.

Kuna binaadam ambao hakuna kiasi cha pesa/mali kinachoweza kununua utu wao.

Sasa katika waTanzania ninawahesabu watu watatu ambao ninao uhakika kabisa nao; kwa sababu walishaonyesha mfano hai. Inawezekana pakawepo na wenginewengi tusiowajuwa humu JF.

Hawa watatu ambao sina shaka nao ni:
Maxence kama ulivomtaja mwenye. Huyu angeweza kuuza kila kitu kwa Tsh bilioni moja tu, na sote tukawa wahanga.

Mh. Tundu Lissu

Na Mwalimu Julius Nyerere

hawa watu wametokea kuipenda nchi hii na watu wake kuliko wanavyojipenda wao wenyewe.

Mada yako hii ya leo, naona umeingia ndani ya ubongo ndani kabisa na kuiibua tena katika wakati mwafaka kabisa.
 
Exactly
 
Serikali ingekuwa na akili huyu angefaa awe waziri ama mkurugenzi ndani ya wizara flani...eti serikali inamuacha halafu huyu huyu jamaa ambaye matako yake yanakua kama ya kondoo huku mapaja yakimbana na matege yakiongezeka na akili yake mbovu ni waziri...
Pesa aliyonayo ni ndefu sana kuliko uwaziri husika !

Pili kwa aina ya uongozi wa Tanzania ukishachaguliwa ua teuliwa na Rais unakuwa chawa automatically
Ndo maana Mimi mwenyewe nilikataa uteuzi wa kuwa mwakilishi wa nchi sehemu fulan kwa kusingizia jambo Fulani!

Na wanaonijua wanajua msemo wangu live kwamba

Siwez rejea Tanzania eti niteuliwe, labda nipewe ngazi ya uwaziri mkuu au Rais kabisa ambapo ntakuwa na nguvu ya kubadili mfumo!

Namkumbuka KITILA kabla Hajafuata MKUMBO
Mtatiro kabla hajawa CCM

Namkumbuka sana KABUDI hajaanza uchawa wa uzeeni hadi anafuata MKOJO MADAGASCAR akisema ni dawa ya CORona
Akapewa na ndege kabisa kufuata uchafu 😁😁

Unaumiza sana roho za watu kuwataja hawa uliowataja hapa.
 
Back
Top Bottom