THE GOAT WHO STOOD FIRM: Nguvu ya Simba, Ukaidi wa Mbuzi

THE GOAT WHO STOOD FIRM: Nguvu ya Simba, Ukaidi wa Mbuzi

Ngoja nami nikwambie jambo.

Kuna binaadam ambao hakuna kiasi cha pesa/mali kinachoweza kununua utu wao.

Sasa katika waTanzania ninawahesabu watu watatu ambao ninao uhakika kabisa nao; kwa sababu walishaonyesha mfano hai. Inawezekana pakawepo na wenginewengi tusiowajuwa humu JF.

Hawa watatu ambao sina shaka nao ni:
Maxence kama ulivomtaja mwenye. Huyu angeweza kuuza kila kitu kwa Tsh bilioni moja tu, na sote tukawa wahanga.

Mh. Tundu Lissu

Na Mwalimu Julius Nyerere

hawa watu wametokea kuipenda nchi hii na watu wake kuliko wanavyojipenda wao wenyewe.

Mada yako hii ya leo, naona umeingia ndani ya ubongo ndani kabisa na kuiibua tena katika wakati mwafaka kabisa.
Lissu aliisha wahi shirikiana na Mbowe kuuza chadema kwa Lowassa mzee wa Richmond,Sema mchaga ni mjanja alimkatia kidogo, ndio maana wakageukana.
 
Leo Nampa heshima mtu mmoja.

Max Mello Mmiliki wa Jamiiforums.

Katika kipindi ambacho serikali ilimuwinda, ikimtaka atoee siri za wachangiaji mada mbalimbali... alisimama imara.

Hakutetemeka. Hakutoa hata taarifa moja binafsi ya mchangiaji yeyote.

Alilinda faragha. Alilinda uhuru wa watu kusema. Alilinda JamiiForums isibadilike kuwa chombo cha kutoa Siri za watu.

Picha hii inazungumza yenyewe. Nyuma yake kuna MBUZI na SIMBA - Nguvu ya Simba, Ukaidi wa Mbuzi.

Na hapo ndipo anaposimama Max. Kama GOAT yaan The Greatest Of All Time. Katika Tasnia ya kulinda uhuru wa Habari

Asante Max kwa kuonyesha kuwa kanuni zina thamani kuliko hofu.
Tunasimama nawe. #IStandWithMax #JamiiForums #FreedomOfSpeechGOAT

Tunaandika haya tukijua fika figusu ni nyingi sana kutoka sehemu na mashinkizo ila wewe ni mwamba sana!

View attachment 3638255
Britanicca
👍👍
 
Back
Top Bottom