Jifanyie yako tu Mkuu..Hata ungepewa Urais kabisa....Jitihada zako za kubadili Mfumo ndiyo ingekuwa. Mwisho wa Maisha yako hapa Duniani...kwa CCM hii...tena chapu na kwa haraka mno..Pesa aliyonayo ni ndefu sana kuliko uwaziri husika !
Pili kwa aina ya uongozi wa Tanzania ukishachaguliwa ua teuliwa na Rais unakuwa chawa automatically
Ndo maana Mimi mwenyewe nilikataa uteuzi wa kuwa mwakilishi wa nchi sehemu fulan kwa kusingizia jambo Fulani!
Na wanaonijua wanajua msemo wangu live kwamba
Siwez rejea Tanzania eti niteuliwe, labda nipewe ngazi ya uwaziri mkuu au Rais kabisa ambapo ntakuwa na nguvu ya kubadili mfumo!
Namkumbuka KITILA kabla Hajafuata MKUMBO
Mtatiro kabla hajawa CCM
Namkumbuka sana KABUDI hajaanza uchawa wa uzeeni hadi anafuata MKOJO MADAGASCAR akisema ni dawa ya CORona
Akapewa na ndege kabisa kufuata uchafu ππ
Britanicca
Yupo vizuriMuhaya aliyekopi unyenyekevu wa Ki- Mwanza Mwanza hasa Usukuma.Nadhani kusoma Bwiru Boys pale kumechangia kumtoa kwenye kona ya Majivuno Majivuno..
Ana mchanganyiko wa Marafiki wa kila aina na kila kada.Hata alipoanza kuzongwa na Kesi..Mawakili na Watetezi wa Kila aina walikuwa wanaibuka tena katika utaratibu usio rasmi wakiwa tayari kumtetea...mpaka akina Antipus Lissu walitimba Mahakamani na mafaili yao na mavitabu makubwa makubwa...kwa kupata taarifa kupitia tu vyombo vya habari.
Inafikirisha sana mkuuni asset muhimu huko mbele
Namkubali sana melo ila simwamini sana pia.
Brita.. Wangap pale house wametoa siri za watu na mlikua mnawaamini?
Mpe maua yako ila nitampa siku akifariki na tai shingoni
GM ( KABURINI CHATLE)
Ndio Muhaya mwamba kabisa amesimama kidete licha ya vitisho na wenzake kina Michael na timu nzima sio rahisiHivi huyu jamaa ni muhaya?
Acha uongo wewe nani akuchague kuwakilisha nchi mtu wa hovyo kama wewe.Pesa aliyonayo ni ndefu sana kuliko uwaziri husika !
Pili kwa aina ya uongozi wa Tanzania ukishachaguliwa ua teuliwa na Rais unakuwa chawa automatically
Ndo maana Mimi mwenyewe nilikataa uteuzi wa kuwa mwakilishi wa nchi sehemu fulan kwa kusingizia jambo Fulani!
Na wanaonijua wanajua msemo wangu live kwamba
Siwez rejea Tanzania eti niteuliwe, labda nipewe ngazi ya uwaziri mkuu au Rais kabisa ambapo ntakuwa na nguvu ya kubadili mfumo!
Namkumbuka KITILA kabla Hajafuata MKUMBO
Mtatiro kabla hajawa CCM
Namkumbuka sana KABUDI hajaanza uchawa wa uzeeni hadi anafuata MKOJO MADAGASCAR akisema ni dawa ya CORona
Akapewa na ndege kabisa kufuata uchafu ππ
Britanicca
Wangapi walipewa nafasi mfumo ukawatema kwa serikali kama yetu mambo yako hovyo sana angalia mtu kama Maharage amefanya vizuri sana sekta binafsi ila alipoingia serikalini tu mambo yakaharibikaSerikali ingekuwa na akili huyu angefaa awe waziri ama mkurugenzi ndani ya wizara flani...eti serikali inamuacha halafu huyu huyu jamaa ambaye matako yake yanakua kama ya kondoo huku mapaja yakimbana na matege yakiongezeka na akili yake mbovu ni waziri...
Ogeza warioba hapaNgoja nami nikwambie jambo.
Kuna binaadam ambao hakuna kiasi cha pesa/mali kinachoweza kununua utu wao.
Sasa katika waTanzania ninawahesabu watu watatu ambao ninao uhakika kabisa nao; kwa sababu walishaonyesha mfano hai. Inawezekana pakawepo na wenginewengi tusiowajuwa humu JF.
Hawa watatu ambao sina shaka nao ni:
Maxence kama ulivomtaja mwenye. Huyu angeweza kuuza kila kitu kwa Tsh bilioni moja tu, na sote tukawa wahanga.
Mh. Tundu Lissu
Na Mwalimu Julius Nyerere
hawa watu wametokea kuipenda nchi hii na watu wake kuliko wanavyojipenda wao wenyewe.
Mada yako hii ya leo, naona umeingia ndani ya ubongo ndani kabisa na kuiibua tena katika wakati mwafaka kabisa.
Mikwara mbuzi wa mamaUngeliwa Kichwa mamake watu walikusakq hope bado wanakusaka tu they say you can run but you can't hide
USSR
Siku akibadlisha msimamo TUMEISHA, watapona machawa tuuNdio Muhaya mwamba kabisa amesimama kidete licha ya vitisho na wenzake kina Michael na timu nzima sio rahisi
Max Mello a man of principles!Leo Nampa heshima mtu mmoja.
Max Mello Mmiliki wa Jamiiforums.
Katika kipindi ambacho serikali ilimuwinda, ikimtaka atoee siri za wachangiaji mada mbalimbali... alisimama imara.
Hakutetemeka. Hakutoa hata taarifa moja binafsi ya mchangiaji yeyote.
Alilinda faragha. Alilinda uhuru wa watu kusema. Alilinda JamiiForums isibadilike kuwa chombo cha kutoa Siri za watu.
Picha hii inazungumza yenyewe. Nyuma yake kuna MBUZI na SIMBA - Nguvu ya Simba, Ukaidi wa Mbuzi.
Na hapo ndipo anaposimama Max. Kama GOAT yaan The Greatest Of All Time. Katika Tasnia ya kulinda uhuru wa Habari
Asante Max kwa kuonyesha kuwa kanuni zina thamani kuliko hofu.
Tunasimama nawe. #IStandWithMax #JamiiForums #FreedomOfSpeechGOAT
Tunaandika haya tukijua fika figusu ni nyingi sana kutoka sehemu na mashinkizo ila wewe ni mwamba sana!
View attachment 3638255
Britanicca
Bila ya shaka yoyote, mkuu 'baz kaiza'.Ogeza warioba hapa