THE GOAT WHO STOOD FIRM: Nguvu ya Simba, Ukaidi wa Mbuzi

Simjui mama yako yupoje kwa hiyo sina kauli pinzani na wewe.
Ila nikukumbushe tu, siyo kila mama yupo kama huyo wa kwako. Kuna wanaowatupa akina 'Grace Samia' majalalani
 
Viva Maxence Melo hakika wewe ni kioo cha jamii
Kuna vijana mwanzoni walianza vizuri lakini sijui walikumbwa na nini.
Zitto kabwe
Nape
Mnyika
Januari
Makonda(japo huyu mtapinga)
Huyu Melo wetu namweka kundi moja na Polepole.
Lissu sijajua nimweke kundi Gani sababu sijathibitisha kama kweli yupo kwa niaba ya watanzania au Kuna external force.
Namalizia kwa kusema huu ni mtazamo wangu tu
 
Simjui mama yako yupoje kwa hiyo sina kauli pinzani na wewe.
Ila nikukumbushe tu, siyo kila mama yupo kama huyo wa kwako. Kuna wanaowatupa akina 'Grace Samia' majalalani
Ndio maana nikasema my mom !
I mean my mother ! 😁 πŸ‘
 
Huyu Mwamba nilikuwa naona anasifiwa sana nikajuaga ni uchawa tu wa wabongo ila the day nakutana nae i released that bro ni ana akili nyingi mno kwangu ni yupo 3 bora ya watu niliokutana nao wenye akili nyingi mno.
Kabisa mkuu,
Amechangia vijana wengi kufuatilia siasa na mustakabali wa taifa lao.
Mfano kuanzia 2006 kwenda chini,bunge lilifuatiliwa na wachache sana.
Baada TU ya jf kuanzishwa watu wakaanza kufuatilia.
Lakini ametukutanisha watu mbalimbali humu ambapo kutokana na mijadala ya humu,serikali,wataalamu mbalimbali huiba pointing humu na kuzifanyia kazi.
Mwamba ameleta amsha amsha nchini utafikiri utawala wa Magufuli
Vile
 
Siyo hiyo tu amekuwa msaada kwa watu kwa mambo mengi mno
 
Kaonyesha msimamo na kuamini anachokisimamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…