Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 216
- 406
"What a man make for his living its non of my business"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamkumbuka 1st born wa don corleone, jina limentoka alikua hafai kwa lolote, akapelekwa kusimamia casino las vegas akachemsha halafu akajiweka upande wa Mo Green ambae michael alitaka kuchukua hotel zake.
Michael alimwambia kaka ake .... u r my brother but never ever take sides against the family.
Mshkaji hakuskia aka betray la familia tena, basi kuna scene 1 jamaa kachukua kaboti kwenda kuvua samaki na mtoto wa michael, hukohuko akapigwa risasi!
Unakumbuka?
yule alikuwa 2nd born jina lake fredo alikuwa mtu wa starehe tu,alikula njama na gang lingine dhidi ya mdogo wake mike hakutegemea guns zitakuwa involved!!!!
yule alikuwa 2nd born jina lake fredo alikuwa mtu wa starehe tu,alikula njama na gang lingine dhidi ya mdogo wake mike hakutegemea guns zitakuwa involved!!!!
YEAH NIMEMPATA FREDO
vyote my cousin stata. ni novel pia ni movie
first alikuwa Sonny, second Fredo, Mike alafu na binti mwenye mume aliyemuua Sonny. Godfather ilikuwa nzuri kiasi hadi sasa ukiangalia biashara na baadhi ya vitu vingi vinafanana.YEAH NIMEMPATA FREDO
Don alimwambia bonasera why ulienda kwanza polisi na sio kwangu! Ungewahahi kuja kwangu hao wahuni wangekua wanalia siku nzima! Corleone alikua mtata hasa!
"What a man make for his living its non of my business"
"... a Lawyer with his briefcase can steal more than a hundred men with guns..."
"... everybody has a price..."
Nimezisoma nyingi, sikumbuki kama hizo quotes niliziona kwenye The Godfather!
Katika Novel zangu nilizonazo, Novel zinazoongoza kwa kuchakaa kutokana na kuzisoma mara nyingi ni The Godfather, Bourne Identity na The Firm. Acha kabisa!
Wakuu mnakumbuka Santino (Sonny) alivyomsukumia "nyama" Lucy kwenye Harusi ya Dada yake Santino?
alimpa hyo ofa yule producer aliyemtosa johny fontane! Kilichomkuta ni siri yake!'i will give him an offer so good he will never refuse it!' hapo ujue akikataa anaokotwa maiti, kazi ya luca bracci(spp)
'i will give him an offer so good he will never refuse it!' hapo ujue akikataa anaokotwa maiti,kazi ya Luca Bracci(spp)
siku kate adams anatambulshwa kwa johny fontane,hakuamini kama michael anamfahamu fontane the movie star!Huku ndio kuna Kate Adams, mmarekani aliyeolewa na muitaliano (ambacho kilikuwa kitu toffauti kidogo)?