Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
- Thread starter
- #81
The great man are not born grat buta are grew the greatest
Revenge is the dish that.
DOWNLOAD HYO NOVEL! HUMO UNAMKUTA MNYAMA SALVATORE. MAFIA INAHUSISHA HADI MAASKOFU!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The great man are not born grat buta are grew the greatest
Revenge is the dish that.
DOWNLOAD HYO NOVEL! HUMO UNAMKUTA MNYAMA SALVATORE. MAFIA INAHUSISHA HADI MAASKOFU!
huku ndio kuna kate adams, mmarekani aliyeolewa na muitaliano (ambacho kilikuwa kitu toffauti kidogo)?
ntaitafuta aisee maana sijaona mtu anayeipinga...
Kikubwa hasa hapa Sony alionyesha hisia zake ambapo Don hakupenda kwani iliwaonyesha adui kuwepo kwa tofauti ndani ya familia.hapa ni baada ya Sony kuonyesha pupa ya kuongea wakati ile family nyimngine ilipokuja kujifanya wanataka muafaka baina ya families mbili hizi zilizoingiliana maslahi.
Posted from my Nokia tochi, black & White.
Kuna hiyo moja inaitwa "The Last Don" by Mario Puzo. Jamaa alikua noma!

Hz movie bro anazipenda sn anazo 1 hadi 3 kumbe ni nzuri sn bahati mbaya kila nikijitahidi kuziangalia nashindwa maana siwezi kuangalia movie nusu saa nisilale
Wakuu hizo novel zinapatikana kwa hard copy ? Naweza kuzipata wapi??? Vp khs hizo movie zinapatikana hpa mjini kwani mi nilichek part 2 hizo nyingine cjaziona
ukiona ivo ujue movie. Cyo hobby yako tafuta hobby nyingine usilazimishe
Fika mitaa ya motel agip kule na tankot house kuna masela wanauza vitabu na wakiwa hawana unawaachia namba za simu wanakutafutia wale wana!!!
alimpa hyo ofa yule producer aliyemtosa johny fontane! Kilichomkuta ni siri yake!
yule alikuwa 2nd born jina lake fredo alikuwa mtu wa starehe tu,alikula njama na gang lingine dhidi ya mdogo wake mike hakutegemea guns zitakuwa involved!!!!
Alikua mshkaji wa Mo Green the big shot casino runner in Vegas
kweli kuna mtu alikua kama don? Mzee alikua na empire hadi sicily kule alikoenda jificha michael ambako kipindi anarud us ilibid arudi na salvatore'turi
Film ya Godfather ilikuwa inaelezea real life ya Gambino Family...
mkuu asante sna hyo agip motel iko pande zp? posta samora au?ungenitajia mtas ingekuwa poa zaid