Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Ayatollah ni kiongozi wa dini.Ayatollah ajue yuko kwenye waiting list. Jamaa wanamsikilizia tu wakati ukifika wanamuondoa. Apambane kutafuta gap la suluhu za kidiplomasia akishupaza shingo ajue nguvu ya kupambana na wazayuni hana
Gaidi kwako ni mpigania uhuru wa wengine.Aliyeuliwa siyo kiongozi wa nchi, bali ni Gaidi wa Hamasi. Ni sawa na nyakati za Osama Bin Laden; alisakwa kumbe Pakistan kwa mapenzi yao ya uislam wakawa wamemficha nchini kwao. America 🇺🇸 Obama alimfuata huko huko.
Jamani kushambulia taifa lenye nyukilia unatafuta kifo, sikio la kufa halisikii dawa, Iran amefuata njia ya Iraq enzi za Sadamu. Watu wanahisi Israel hana maandalizi na vita kwamba amekurupuka, atakuwa alishajiandaa muda mrefu sana kwa chochote kitakachotokea. Air force ya Iran bado sana ukilinganisha na Air force ya Israel, Iran anazidi Israel tu idadi ya wanajeshi, kwa upande wa technology Israel amezidi Iran kwa kila kitu, Israel ana ndege za kisasa , Iran ana ndege za zamani. Alichonacho USA Israel anacho.Huu ndiyo ukweli halisi. Kila nchi ikiamua kuuwa watu muhimu kuna uwezekano mkubwa tusimuone Netanyahu hadharani hata kwa mwaka mzima kuogopa kudunguliwa.
Israel anachokitafuta atakipata ili iwe alert kwake maana kama Iran alitoa taarifa ya kuishambulia Israel na mataifa zaidi ya matano ya Ulaya na mashariki ya kati kuweka mitambo ya kudungua drones na makombora ya Iran lakini hawakufanikiwa yalienda kutua Israel tena kwa usahihi.
Israel amesahau juzi tu vyuma vilitumwa vikawa vinapita juu ya bunge lao lakini kwakuwa Muajemi hakulenga kuuwa raia vvuma vikapiga kambi muhimu za kijeshi.
Ikifika muda wa kazi anakuwa ELIMINATED bila kujali ushiha, usuni, mujahdeen nk. Adabu ni muhimu vinginevyo anaondolea na washia watakaobaki wanajifix wenyewe kwenye mstariAyatollah ni kiongozi wa dini.
Ukitaka SHIA wakucharukie gusa kiongozi wao wa dini.
Utajua hujui.
Bora watwangane kabisa na wamalizane kabisa ili kelele ziishe na kieleweke. Tumechoka na mikelele yao ya kuungurumiana tu kama ma-Rottweiler.Kazi ipo, ila haya mambo ya vita si ya kufurahia hata kidogo
Jidanganye.Ikifika muda wa kazi anakuwa ELIMINATED bila kujali ushiha, usuni, mujahdeen nk. Adabu ni muhimu vinginevyo anaondolea na washia watakaobaki wanajifix wenyewe kwenye mstari
Uongo mwingi mno hapaHuu ndiyo ukweli halisi. Kila nchi ikiamua kuuwa watu muhimu kuna uwezekano mkubwa tusimuone Netanyahu hadharani hata kwa mwaka mzima kuogopa kudunguliwa.
Israel anachokitafuta atakipata ili iwe alert kwake maana kama Iran alitoa taarifa ya kuishambulia Israel na mataifa zaidi ya matano ya Ulaya na mashariki ya kati kuweka mitambo ya kudungua drones na makombora ya Iran lakini hawakufanikiwa yalienda kutua Israel tena kwa usahihi.
Israel amesahau juzi tu vyuma vilitumwa vikawa vinapita juu ya bunge lao lakini kwakuwa Muajemi hakulenga kuuwa raia vvuma vikapiga kambi muhimu za kijeshi.
Hivi unajua ni violation of sovereignty kiongozi kuuawa katika taifa lako!?Iran ni nchi ya kijinga kabisa, inajiingiza kwenye mambo yasiyowahusu. Pilipili iko shambani, wao inawawashia nini? Ameuwawa kiongozi wa Hamas, wao Iran wanataka kuanzisha vita na Israel ili iweje?
Ngojq waendelee kujipeleka kichwa kichwa wauwawe kama kumbikumbi. Myahudi hanaga huruma yule.
Mwaka huu June,au hukutizama video!?Hapo unakunywa kahawa na kashata, umeevaa kanzu bila boxer ndani basi unandika utumbo mtupu, hiyo ilikuwa mwaka gani vyuma vilipita juu ya bungee la israel
Uhuru gani anaopigania, ndiyo mnavyodsnganywa na Masheikh wenu hivyo. Hata haujui historia ya Gaza; na wala haujui kuwa Hanniye ni Mu Egypt, ni kwa sababu hamjishughulishi kusomaGaidi kwako ni mpigania uhuru wa wengine.
Hivi nyie mbona mnaichukulia israel poa sana israel ina nukliaIran Issues NOTAM for "Military Action." IRGC Commanders did not show up at prayer ceremony
AUGUST 01, 2024
[IMG alt="UPDATED 9:28 AM EDT -- Iran Issues NOTAMs "Military Action" - IRGC Commanders all NO SHOWS at Prayer Ceremony"]This page has moved!
The government of Iran has issued Notice(s) to Air Missions (NOTAM) closing certain air space in their country for "military Action / Emergency" which may mean missile launches. Moreover, NONE of the Commanders of Iran Revolutionary Guard Corps were in attendance at a Prayer ceremony this morning. Busy preparing?
The Notice to Air Missions (NOTAM) appears below:
Using the coordinates of the NOTAM, it appears these relate to Tehran as plotted on map below:
What's strange about this is there doesn't seem to be a reason for this. No funerals today. Unless they are receiving Dignitaries and want to treat the air space as a security zone for THAT.
More interesting, today's Prayer Ceremony (photo at top), attended by Iran's Supreme Leader, saw notable absences: NOT ONE Commander from the Iran Revolutionary Guard Corps was seen at the Prayer Ceremony.
NOT ONE!
As reported last night, extensive preparations for a military attack by Iran against Israel have been confirmed to be underway by Satellite imagery and Communications Intercepts. (Story Here)
All this trouble, triggered by the Assassination of Ismail Haniyeh, the POLITICAL Leader of HAMAS, is made all the worse because the killing took place 750 meters from the residence of the President of Iran! Image below:
Top Iranian officials will meet today with the representatives of Iran’s regional allies from Lebanon, Iraq, and Yemen to discuss potential retaliation against Israel after the killing of Haniyeh in Tehran, five sources told Reuters News Service.
In URGENT news, just breaking at 8:44 AM EDT today, the Head of the National Security Council in Iran just publicly stated: "Israel will be attacked from several fronts."
In additional Breaking news as of 8:48 AM EDT Lebanese media report an Israeli strike in southern Lebanon's Kafr Kila, in what would be the first attack since the assassination of Hezbollah's military chief in Beirut on Tuesday. So it appears Israel's murder-spree is ongoing.
In Israel, approximately 30 factories storing hazardous materials in northern Israel received closure orders from IDF, and those orders require the shedding of hazardous materials as is practical, so inbound missile strikes don't cause toxic clouds, or Haz Mat dispersal. This single ORDER gives credence to the fact that a major attack upon Israel is now likely and expected.
By all Intel assessments, the attack will come tomorrow, Friday, August 2, 2024, after the funerals in Iran.
UPDATE 9:28 AM EDT--
Iran’s FM has notified Qatar and Saudi Arabia that a military operation against Israel is imminent, cautioning them not to allow their airspace to be used against Iran.
Source:
UPDATED 9:28 AM EDT -- Iran Issues NOTAMs "Military Action" - IRGC Commanders all NO SHOWS at Prayer Ceremony
QURAN yenu ndiyo iliwatuma mkazoa na raia wenu wa Gaza mkaingia Israel kuua raia wa watu wasio na hatia kutia ndani na Watanzania wenzio akina Joshua ambapo nyinyi Waislamu mlimuua kwa ukatili. Sasa ndiyo hayo mavuno yake; na Allah wenu Feki ndiyo mwaka huu mtamjua kikamilifu hana msaada wowoteWalichokifanya na wanachoendelea kukifanya israel kule gaza natamani na wao waonje hata robo tu ya madhila wanayopitia Wapalestina.
Ningetamani kuona miji ya jerusalem na Tel Aviv kukiwaka moto. Nione majengo yakianguka, nione watu waliokufa, nione wakikosa huduma za maji na umeme.
Nione watu wakipitia tabu zile zile wanazopitia Wapalestina.
Iran na Lebanon mnaniangusha kwa kweli..
Yemen na Syria mko wapi. Ndugu zenu katika imani mbona wanapitia magumu mnaangalia tu?
Mbona Masjidi walitusimulia kwamba vuuma vilipita juu ya bunge!?Hapo unakunywa kahawa na kashata, umeevaa kanzu bila boxer ndani basi unandika utumbo mtupu, hiyo ilikuwa mwaka gani vyuma vilipita juu ya bungee la israel
Uhuru gani anaopigania, ndiyo mnavyodsnganywa na Masheikh wenu hivyo. Hata haujui historia ya Gaza; na wala haujui kuwa Hanniye ni Mu Egypt, ni kwa sababu hamjishughulishi kusoma
Ndiyo msome, siyo kudandia tu propaganda za Quran na kupuliziwa na Wakomunisti wa KGB waliounda taifa la kilaghai la PalestinaKwani Haniyyeh alizaliwa wapi?
wazazi wake wake walizaliwa wapi?
Babu na bibi yake walizaliwa wapi?