Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kwa Wayahudi, Nchi waloahidiwa, kihistoria inaenda mpaka kuchukua sehem za Syria,Jordan, Uturuki ,Misiri, Lebanoni.
Mnaweza msiamini, ila Israel tayari ndo kaifuta Palestina, Baada ya Trump kuanza kazi Rasimi, Israel anaenda kuchukua WEST BANK, NA GAZA.
Kwa mara ya kwanza Ndani ya miaka 50, Israel kavuka mpaka wa Golan Heights, kaingia SYRIA, kachukua miji mitano, anaendelea ,duru zinasema Israel anapiga kuelekea Mjinwa Daraa Syria.
Baada ya Syria, ataingia Lebanon, Kisha Irak.
Kwa baadae atamalizia Misri, Uturuki.
Hawa Jordan hawana shida, akikohoa tu wanaachia Eneo .
Ukisikia 'The Promised Land' walopewa Wayahudi, ndio hiyo Sasa.
Kwakua haya Mambo yamekaa kiroho sana, mnaweza msielewe.
Ipo hivi, Wayahudi mpaka Leo wanamngoja MASIHA wao waloahidiwa, na kwenye TORATI za Kiyahudi, MASIHA ili aje ni lazima Israel iwe Iko Salama kuanzia kiulinzi na Kimipaka, Usalama ambao kwao mpaka eneo lilojengwa Msikiti wa AL-AQSA Liwe tayari limejengwa HEKALU JIPYA ( historia inaonyesha, Hekalu Hilo lilibomolewa na Majeshi ya Rumi miaka ya nyuma sana, Hekalu hili ni kitu gan?? Kwa Leo tunaweza liita KANISA KUU SEHEM TAKATIFU AMBAYO MUNGU ANAISHI)
Sasa Kwa Wayahudi, kwao maandiko yanawaambia, MASIHI (YESU) ili aje Kwa kushuka kutoka Mbinguni, ni lazima HEKALU Hilo liwe tayari limesimamishwa UPYA ili YESU /MASIHI akishuka akae Ndani yake.
Ingawa Kwa Wakristo, ujuo Huu wa Kristo ni Ujio wa YESU mara ya pili .
Haya mambo Kwa haraka Huwa yanaonekana ya TARATIBU sana ila yana UHAKIKA.
YESU ANAKUJA!!