'The Greater Israel' inakuja ,hizi ni rasharasha

Wayahudi wa Bulyanhulu mna shida sana na uzuri ni kwamba wayahudi wenyewe wanawachukulia kama mapimbi tu nyie endeleeni kuwashobokea
 
Vipi huku kwetu Iran, hawana pande lao,!?
 
Mbona Nabii Msomi GeoDavie Amesema Yesu Atashukia KIA Na Ataenda Mpokea Na Gari Yake?Au Yesu Atakuja Na Wadogo Zake Ili Kugawanyika Katika Majukumu Yao Ya Uenezaji Injili Kwa Mara Pili
 
Kazaliwa nchi GANI? Unaweza kwenda deep kidogo? Je anaitwa Nani?
 
Wewe kwanza wacha ndoto Yesu hawezi kurudi kisha kufa hio ni πŸ’― hata bibilia zenu zinakiri hayo. Unabii wa Agano Jipya uko wazi kabisa. Kurudi kwa Yesu Kristo kulipaswa kutokea wakati wa maisha ya wale walioishi katika ile miaka ya 30 BK. Kwa kuwa hilo halikutokea, na kwa sasa tuko miaka 2000 wenzako walimsubiri na wajukuu wako watamsubiri hata mwende kwenye vituo vya mabus au Airport au kwenye bandari hamtamuona. Mtakutana naye pale anawasuta kuwa Yeye si Mungu na wala hakuwahi kuwambia yeye ni Mungu. Israel pia wanaota kama nyie eti kuna Masihi wanaye msubiri πŸ˜† πŸ˜‚ Mungu alisha weka wazi kwenye Qur'an bada ya Mtume Muhammad hakuna atakaye kuja zaidi yake. Hao wenzenu wote wamekufa wayahudi na wakristo walimsubiria kama nyie. Kasomeni Mathayo 16:27-28, Marko 8:38-9:1, na Luka 9:26-27 ili mpate akili.

Ukisoma Isaya imeandikwa kwamba Israeli haitaweza tena kujilinda yenyewe. Kwa njia hiyo hiyo, Damascus ndio itamtia adabu(Isaya 17:4–6).

Nyie furahini tu hata bibilia zenu hamzisomi basi mkajua kinacho kuja? Kila kwenye matamanio ya fisi mtaishia kula mifupo nendeni tu mpaa mfike Damascus πŸ‘
 
Baby Jesus na kiremba cha palestina dharau sana Papa anawafanyia wakristo
 
Vita kubwa zijazo zitaanzia middle east, hapo Kuna uadui wa kudumu. Vita havitoweza kuisha Hadi baadhi ya mataifa yaangamie au dunia iangamie halafu tuanze upyaa kama vile stone age. Watu wengi hasa huko duniani wamechoshwa na vita lakini watu wenye uchu wa kupata nguvu ndiyo huharibu hii dunia, vita middle east ni ya vizazi hata uue wanajeshi wote jua vijukuu vichanga siku moja vitakuja kama Babu zao hivyo ni endless war, ambapo Sasa upo uwezekano wa taifa au mataifa kutumia silaha zozote za maangamizi Ili kumaliza kabisa vita na ndipo vita kubwa itatokea duniani.

Vita si vya kufurahia kabisa, kitakachoiangamiza dunia ni dini na siasa.
 
HAWEZI KUELEWA MTOTO MDOGO,HAJUI WAISRAELI FEKI WAPO KWENYE KUTUMIKA KUUSIMIKA UTAWALA WA WORLD NEW ORDER
 
PRAISE TO JESUS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…