The Greater Kanumba movie mpya THIS IS IT!

usijali mpenzi huyu ni mtani wangu tu....
nothing serious here!!!
au revenge?juzi juzi nawewe si ulifumania hapa?ha ha ha,bht msanii,balantanda msanii,yaani nyie ndio wanandoa haswa.
 
siku moja nilisema mie sinunui movie za bongo wakanishangaa zinatia aibu copy and paste from nigeria ubunifu zero hawapo serious wanapofanya action ,wapo kimaslahi zaidi na kuutafuta u celebrity
 
MARA nyingi anaiga filaza kinaigeria ila anatafsiri kwa kiswahili.............
movie za kinigeria nazo uozo nao wanaiga hizohizo,na wanavyotafsiri ni balaa,ndio maana nikasema afadhali nimwangalie kingwendu na majuto na vichekesho vyao kuliko kuangalia pumba za hawa jamaa.
 
siku moja nilisema mie sinunui movie za bongo wakanishangaa zinatia aibu copy and paste from nigeria ubunifu zero hawapo serious wanapofanya action ,wapo kimaslahi zaidi na kuutafuta u celebrity

we unalala saa ngapi?
sasa kama kila mtu anasema
hatazami hizo picha,
hawa watu wanakuwa vipi
maarufu?
 
siku moja nilisema mie sinunui movie za bongo wakanishangaa zinatia aibu copy and paste from nigeria ubunifu zero hawapo serious wanapofanya action ,wapo kimaslahi zaidi na kuutafuta u celebrity
afadhali nawewe umesema,wao naona wanashindana THE GREAT na kuna mwingine THE GREATEST yaani hapo ni balaa,kila mmoja anatamba yeye zaidi na ana muvi nyingi na ndio hapo sasa wanatoa vitu vya ajabu,maana muvi haijazinduliwa nyingine iko jikoni nyingine inapikwa nyingine inaandaliwa,yaani balaa mpaka kizunguzungu,halafu wanasema ooh my dream is to go up to act in hollywood,kwa huu utumbo haiwezekani,
 
Mimi huwa siangalia hizi Chuya...We fikiria eti Mtu kama Kanumba kwa mwaka anatoa movie zaidi ya 10!!!!!!....Siangalii kabisa michezo yao hii ya kuigiza
 
yaani huyo kanumba siku atakayoigiza hollywood
na akina denzel,mimi ntahamia sayari nyingine ku protest...
 
Mimi huwa siangalia hizi Chuya...We fikiria eti Mtu kama Kanumba kwa mwaka anatoa movie zaidi ya 10!!!!!!....Siangalii kabisa michezo yao hii ya kuigiza

mkuu..
mimi anachonichekesha
ni kuona hajui kuwa anachofanya ni upupu..
siku moja alikuwa analalamika eti kwa nini
cinemas za daresalaam kama new world cinema
na mlimani hawaonyeshi filam zake,
yaaniyeye hajui hata tofauti ya teknloijia
ya upupu wake na filam za holyywood.
 
Kanumba huwa anajiit Denzel Washington wa Bongo...Anacheza kweli huyu mnyantuzu,Denzel Washington!!!!!!!!,
 
Halafu sijui kwa nini kila filamu ya Kibongo lazima iwe na jina la Kiingereza...........Mi siangalii kabisa upupu huu
 
sio yeye tu.
ni industry nzima imejaa upupu
pamoja na magazeti ya burudani....
yanawasifia kwa ujinga ujinga.
 
Halafu sijui kwa nini kila filamu ya Kibongo lazima iwe na jina la Kiingereza...........Mi siangalii kabisa upupu huu

kiingereza che nyewe si ndi kile
alichokionyesha big brother......
 
Kanumba huwa anajiit Denzel Washington wa Bongo...Anacheza kweli huyu mnyantuzu,Denzel Washington!!!!!!!!,
sasa yeye ili athibitishe ni denzel washington wa bongo ni kumwaga hizo movieee km majitaka,ili akamilishe idadi ya denzel,mwenzie kaanza kuact ana miaka 17 na hata movie zake si nyingi kiivyo,denzel nae siku hizi anabore anavyoact halafu sijui vipi?mkuu huyu ***** anaiga wanaijeria zaidi wala huko kwa denzel hayupo kabisa.
 
Halafu unakuta Movie mtunzi Kanumba/Kigosi,Director Kanumba/Kigosi,Script Writer Kanumba/Kigosi,Producer Kanumba/Kigosi,Music Composer Kanumba./Kigosi...Sasa nabaki najiuliza huyu Kanumba mambo ya kuongoza filamu amesomea wapi?...Ama mtu kama Mtitu(Director maarufu wa filamu za kibongo) kasomea wapi uongozaji wa filamu?...

Kuna bwana mmoja anaitwa George Otieno Tyson sijui kaishia wapi huyu,ni Director mzuri sana,nakumbuka moja ya kazi zake ni filamu ya Girlfriend ambayo kwa kiasi fulani ilikuwa ni nzuri
 
kiingereza che nyewe si ndi kile
alichokionyesha big brother......
dah mkuu hii lugha hata mimi inasumbua kiaina lakini siko sawa na superstar wetu,hujaona mwalimu PJ kanitoa nishai pale mwanzo.
 
Tatizo watanzania wanawaiga sana waNigeria katika filamu zao(waNigeria nao filamu zao ni bomu kabisa)ni mara kumi tungewaiga hata waSouth Afrika ama waZimbabwe kuliko wanigeria
 
wenzio wanaona kaole sanaa group ni university..of arts in Tanzania.
 
Wakenya na Waganda filamu zao ni nzuri mnooo,wako juu sana ukilinganisha na wabongo,wao hawana mambo ya kuiga wapopo wala nini
 
Halafu unakuta Movie mtunzi Kanumba/Kigosi,Director Kanumba/Kigosi,Script Writer Kanumba/Kigosi,Producer Kanumba/Kigosi,Music Composer Kanumba./Kigosi...Sasa nabaki najiuliza huyu Kanumba mambo ya kuongoza filamu amesomea wapi?...Ama mtu kama Mtitu(Director maarufu wa filamu za kibongo) kasomea wapi uongozaji wa filamu?...
Kuna bwana mmoja anaitwa George Otieno Tyson sijui kaishia wapi huyu,ni Director mzuri sana,nakumbuka moja ya kazi zake ni filamu ya Girlfriend ambayo kwa kiasi fulani ilikuwa ni nzuri
hawataki hata kumsikia dau lake kubwa halafu ndio kama hivyo atawachelewesha wao wanataka maendeleo kwa siku moja,ndio maana,director,script writer,music composer,advisor,director,wasambazaji,promoter,actor niyeye mtu mmoja,movie inaandaliwa leo wiki ijayo iko barabarani,halafu wanalalamika wanataka hakimiliki,ubora wa muvi zero unanunua muvi inaonyessha maramoja basi,kama haijaonyesha kabisa
 
Back
Top Bottom