FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
haya mashemeji na makaka natoa movie inaitwa naapa sitarudia kupenda, balatanda hee front page ina jina kiswahili not swangilishi ,the boss naomba uwe mshiriki katika film cause kingereza tutakuwa nacho cha kuotea naimani mtanisaidia na itafanya vyema katika ulimwengu wa movie