The Greatest JF intelligent man

Kuna kitu watanzania wengi tunakosa, ambacho ni Taarifa, mtu ambaye anakosa taarifa anajikuta yupo shimoni muda wote.
Kwa upande wangu jamaa sio intelligent ila anatafsiri tuu informations ambayo zipi online tayari zimejaaa kwa lugha ya Kiingereza na anaiweka kwa kiswahili then analeta hapa.

Napenda nimpongeze kwa juhudi hizo na awe anakumbuka to acknowledge source. Itapendeza na kumuongezea heshima zaidi.

Salute kwako mkuu The Bold, komaa unaeleweka vyema.
 
Mkuu listi yako inafanana na yangu kwa asilimia 99.
 
Umenena haswaaa
 
Cc ONTARIO Al-Watan Nyani Ngabu Kiranga
 
Dah mbeba maboksi najua watu wanamkubali sana....hata kama ni kimya kimya....😀.

İla hutakiwi kusema unamkubali mbeba maboksi.....usije ukaamsha mashetani ya watu bure.
Nundu cham,nundu ndani ya instagram
 

Dah!

Niseme tu shukran jazilan!
 
Nundu cham,nundu ndani ya instagram

Kuna singo iko jikoni inapikwa na karibu itatoka.

Itam feature J Moo na mchuchu wake na le supastaa mwenyewe mzee wa kiki.

Hiyo ikitoka Kiba na Mondi lazima wafunikwe tu maana hakuna namna....

Ngoma yenyewe itaitwa 'nundu' 😀

Wewe unayo nundu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…