Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Halaf habari zako za kunicopia sitakii kwanza nishajua pa kuzipataa
Pa kuzipata wapi? Google?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halaf habari zako za kunicopia sitakii kwanza nishajua pa kuzipataa
Sikufundishi mpaka uniimbie NunduPa kuzipata wapi? Google?
Anatoa nyingine tena ,,,,aaaa basi hamorapa kiboko halaf kajitokeza mdogo wake leo anamtafuta hamorapa nundu nnayo kichwaniKuna singo iko jikoni inapikwa na karibu itatoka.
Itam feature J Moo na mchuchu wake na le supastaa mwenyewe mzee wa kiki.
Hiyo ikitoka Kiba na Mondi lazima wafunikwe tu maana hakuna namna....
Ngoma yenyewe itaitwa 'nundu' 😀
Wewe unayo nundu?
Anatoa nyingine tena ,,,,aaaa basi hamorapa kiboko halaf kajitokeza mdogo wake leo anamtafuta hamorapa nundu nnayo kichwani
Mwelewa, acha kuelewa vibaya.Hapa JF aliwahi tokea mtu mwenye uwezo mkubwa sana wakufikiri......si mwingine ni mkuu Kiranga.
Mwingine mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni mkuu Nyani Ngabu.
Nafahamu Nyani Ngabu wakatimwingine anaweza kufanya mambo mengi ya utani tu laini huyu jamaa anauwezo mkubwa
Pia member anayeitwa Deception (sijui yupo wapi siku hizi) naye anaweza kujenga hoja sana.
Mwingine ni mkuu ONTARIO anaweledi mzuri kwenye business na ujasiriamali. Pia anaweza sana kusimulia tukio fulani kwa weledi
Member mwingine ni Al-Watan. Huyu anauwezo mkubwa kufikiri logically. Aina yake ya kufikiri ni kama Kiranga japo yeye hashiriki sana mijadala hapa
Pia kwenye hii list yangu namsifu The Bold anakipawa cha kusimulia makala za kijasusi anazozipata kwa msaada wa mtandao
Update
Aaaah nimemkumbuka my brother Dan Copper. Huyu yupo vizuri upande wa celebrity forum. Hususani muziki wa majuu. Zamani alikuwa anajiita Sergio Paulo...
Kwa upande wa siasa mkuu barafu nakusifu.
Hao ni baadhi, wapo wengi hapa JF nao si haba. Tunajifunza na kufurahia hoja na mada zao
Nyani gabu, whatever his name, ukimkosoa kimawazo anabaki na ule ukosoaji na anakuchukia. Nani alimwambia aje hapa duniani ili akisema yeye, wote tukubali ila tukisema sisi asibukali? Leta mawazo yako na mimi nilete mawazo yangu halafu tukubaliane kutokubaliana.
Uswazi tunasema anadeka. Na wewe unamdekeza.
i would like to take this moment to give honorable respects and on top maximum congratulations to The Bold.
This is the most intelligent person on JamiiForums,from this man i have got what a huge knowledge concerning the hottest intelligence issues.
i have not been seeing any one like him on intelligence stories and i think a lot of members admire him.
The better stories made me to write a congratulation special thread are "Kanali Muammar Gadafi 1942-2011" and "Utata wa Kifo Cha Raisi JF kennedy" but the most of his are the niciest ones.
Mods please do not reallocate my thread to another forum.
CC. The bold
yes we exist
we like him
I think he is
Hadi leo nimeshindwa kukutofautisha na Kiranga.authentic
Al-Watan ni mtumwa dhaifu anayepapasa kutafuta mwanga ndani ya pango lilojaa kiza.
Ninapochelea kukwaza na kutaka kujidodosa, mnanipa moyo kwamba kuna watu waona ninayosema yastahili heko.
Y'all far too kind.
kwani we si athiestHadi leo nimeshindwa kukutofautisha na Kiranga.
Niliwahi kuangalia nyuzi zenu za kujitambulisha, lugha mnayotumia, mashairi mnayoandika, aina ya usernames mnazotumia, mwaka mliojiunga JF, aina ya uandishi wenu, weka kando ninyi nyote kuwa ni Atheists.Huwa nadhani Al-Watan na Kiranga ni IDs za mtu mmoja.........All in all you're doing great bro.
Show this idiot, one post, one post you disagreed with someone and then came to terms.Hahaaaa....you're still hung-up on that huh??
It must hurt not getting Ngabu's attention if I'm still on your brain like that.
You'll get over it, though, with the passage of time, of course.
Other than that, I don't shy away from challenges and I pretty much lay to waste whoever thinks he/she can go toe to toe with me.
But also I don't waste time arguing with driveling idiots. So if I figure out that you're one of them, I give you the stupid treatment that you rightly deserve and I do so in a quick, fast, and in a hurry fashion.
Hadi leo nimeshindwa kukutofautisha na Kiranga.
Niliwahi kuangalia nyuzi zenu za kujitambulisha, lugha mnayotumia, mashairi mnayoandika, aina ya usernames mnazotumia, mwaka mliojiunga JF, aina ya uandishi wenu, weka kando ninyi nyote kuwa ni Atheists.Huwa nadhani Al-Watan na Kiranga ni IDs za mtu mmoja.........All in all you're doing great bro.
You're not even making sense!Show this idiot, one post, one post you disagreed with someone and then came to terms.
Otherwise my words stand, you are a spoiled brat.
Now you see my point. You are always right. Always right. Never wrong.You're not even making sense!
If I disagree with someone how then can I come to terms with him/her?
Simple, elementary school logic.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
But it's par for the course!
Huyo jamaa Moshe Dayan namkubali sana sijui amepotelea wapi.Kuna member mmoja alikuwa anaitwa Moshe Dayan.
Yeye hakuwa story writer,yeye alikuwa a true intelligence officer wa jwtz
Yule jamaa sijui yuko wapi