Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Ndio hulka ya binadamu zilivyo... Tukiona mtu anapiga hatua fulani automatically kiini cha "insecurity" kilichopo kwenye kila nafsi ya binadamu kinakuwa triggered na matokeo yake inazaa chuki bila hata mtu huyo kukukosea!!OMG! Niseme nini sasa? Asante Mungu kwa huyu Bold...
Naam,maadui ni wengi lakini wewe piga kazi tu.
Nakumbuka ulipoanza wengi wa maadui walikuwa wakikusifu na kukupamba,sifa zilipozidi kumiminika kila pembe hii ya JF wengi wamegeuka maadui.
Lakini hii yote isikukatishe tamaa baba...endelea kuchapa kazi bila kujali.
Am proud of you [emoji8] [emoji122] [emoji122]
Thank you for getting my back siku zote Cheupe wangu!!
You know me mama!! The only person anayeweza kumkatisha tamaa the bold ni the bold mwenyewe...
Hakuna mtu anayeweza kuua kile Mungu ameweka ndani ya nafsi!!