The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

Hakuna kiumbe kiitwacho shetani. Shetanj ni status sio name. Mungu pia ni status sio name
 
Duu, imenigusa sana... Aisee God help me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubishi uko wapi hapo kijana? Yule bibie amesema hisia zake na hili huwa lipo kuelewa au kutokuelewa kwa jambo sababu yake huwa ni lugha.
Nakufahamu vizuri sana.. ukianzisha ligi hukubali kushindwa. Utakua kuha wewe
 
Nakufahamu vizuri sana.. ukianzisha ligi hukubali kushindwa. Utakua kuha wewe

Maneni ya mwisho sijakuelewa vizuri.

Pili, huwa sishindani ndio maaa huwa sifikii muafaka na mtu, ukikubali utachukua usipokubali utaniachia maneno yangu.

Hivi ndivyo nilivyo mimi.
 
Maneni ya mwisho sijakuelewa vizuri.

Pili, huwa sishindani ndio maaa huwa sifikii muafaka na mtu, ukikubali utachukua usipokubali utaniachia maneno yangu.

Hivi ndivyo nilivyo mimi.
Haina shida kiongozi..nimekuelewa
 
Mtu anabishana na Wikipedia sio mtu wa kubishana nae unamuacha tu.

Hata utumie efforts zako zote kumuelewesha hatakuelewa hata kidogo na ndio mana sikumjibu chochote aisee.

Hatari sana...!
Wikipedia haijawahi kuwa sehemu ya uhakika kupata taarifa sahihi
 
Sasa kama yesu alikuwa mwanadamu ikawaje alivyokufa akafufuka????!!!

Basi huyu mwanadamu alikuwa si wa kawaida..
Ndugu tunazungumzia Yesu mwanadamu.. tukizungumzia ya uungu watapeleka jukwaa la dini
 
Duh mzee unashindana na maandiko kutoka kwenye ukoo wa kitajiri haimaanishi na wewe utakuwa tajiri

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duh mzee unashindana na maandiko kutoka kwenye ukoo wa kitajiri haimaanishi na wewe utakuwa tajiri

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kanishangaza sana huyu jamaa..
Anabishana na unabii wa nabii Isaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…