Waambie Xavi, Iniesta, Busquets waingie na notebooks uwanjani maana St.Andrea Pirlo atakua na darsa huru siku hiyo, teaching them fools how to pass a ball
ha ha ha ha ha ha ha ha umenichekesha sana, kabla sijamrudia Muumba wangu, kipindi cha nyuma niliendaga Kimboka hapo buguruni. Sasa nikawa sijui daladala za K/koo napandia wapi, nikamuuliza mtu kisha akanambia nimfate.
Heeeeeeh, si nikapigwa roba bhana, wakanichukulia simu na viela kama elfu 6 hivi. Ikabidi niombe nauli kwa majirani, mpaka leo buguruni sikanyagi.
Turudi kwenye mada, Man City walikuwa kwenye condition nzuri kabla hawajakabiliana nasi, kwahiyo kufungwa kwake ni sahihi kabisa. Na sisi ndio tuliowachanga mpaka wao wanajiona sio timu tenaaaa.
Hivi karne hii kuna mtu wa kumfundisha Xavi Hernandez namna ya kupiga pasi? Pirlo akawafundishe vilaza wa Ac Milan ambao mpira wanatulizia ugokoni.
Hahahahahahaaa, pole sana ila hujasema kama ulichokifuata pale ulikipata, teh teh teh Gang Chomba msikie mkulungwa
Wewe subiria roba za mbao kutoka kwa kina Marchisio, Carlitos, Vidal, Morata mpaka mchanganyikiwe njia ya kurudi catalunya, mtapanda daladala za kwenda Albania siku hiyo
#ForzaJuve
Pogba kapona?
ni hapo tu wazungu wanaponichosha , wakifanya kitu wao utasikia " the best in the world" Really?? ni lini mechi za huku mtaani zimepata coverage kama zao kuweza linganisha ili kujua kama hiyo kweli ilikua best in the world?? natakaa kwa reference ya mechi za Born town na bush stars , mambo ya kipepe si mchezo, mesi hatii ndani.
Ili kumlindia heshima Nesta, aliamua kutokufunga.
Hapo juu umesema umemrudia muumba wako, hapa unaendelea kutenda dhambi kwa kumkashifu Nesta
Siku hiyo andunje alifichwa kwenye makwapa ya Nesta, tena Nesta kibabu
Nasikia katika team zote alizokutana nazo Nessi, kuna team moja hajawahi kufurukuta hata akitengewa anakosa confidence, eti Ntuzu, Mentor, Manumbu, kalou na b5-click mnaijua hiyo team mtusaidie?
Hapo juu umesema umemrudia muumba wako, hapa unaendelea kutenda dhambi kwa kumkashifu Nesta
Siku hiyo andunje alifichwa kwenye makwapa ya Nesta, tena Nesta kibabu
Nasikia katika team zote alizokutana nazo Nessi, kuna team moja hajawahi kufurukuta hata akitengewa anakosa confidence, eti Ntuzu, Mentor, Manumbu, kalou na b5-click mnaijua hiyo team mtusaidie?
"To be the best you have to beat the best" and Nessi hasn't beat the best yet, so nessi ain't the best.
Hahahahahaha ALEYN njoo ujitete hapa
-Unataka kusema Chelsea ni best kuliko Real Madrid?
-Ni timu ngapi Messi kazifunga na zikiwa ni besy kuliko hao wapark Makontena?
-Madrid ikiwa ktk Ubora wake Messi kashafunga, tena kawachapa Hat Trick, pale pale Santaigo Bernabeu.
-Kawapiga Man United wakiwa ktk ubora mara mbili na Kombe kabeba.
-Kawachapa Arsenal, Ac Milan n.k na atazidi kuwachapa wengine ambao watafuata wakiwemo Juventus na wajing wengine wengine ......... Go East Go West Messi is the Best.
Hahahahahah... Naijua mkuu, kiumbe huyu wa ajabu pale anagonga mwambaa.
#CFC
Hahahahahahahaaa, huchokozwi, lol
Kwa sasa there's no doubt kwamba Messi is the best, relax mzee
Sasa huyu Messi alichowafanya Man City atafanya mara 3 kwa Juventus. Messi atakuwa ni tatizo kubwa sana endapo utakuwa ni mara yako ya kwanza kuwa against nae, sasa ukimface ndo utajuta
Nessi nessiiii, atakutana na madoctor from Turin, umetoa maelezo mengiiii lakini ukweli ni kuwa Nessi wenu hajawahi kufurukuta kwa kina Ntuzu na ndivyo itakavyokua kwa Bianconeri
-Hivi Mkuu, chelsea nayo unaihesabu kuwa ni timu ambayo Messi wanamuumiza Kichwa?
-Messi anacheza mpira kwa timu, hachezi ili awakomoe Chelsea au Arsenal, anapopata nafasi anafunga, akibanwa anatoa nafasi kwa wengine, huwa halazimisi kufunga kama Rinaldo.
-Messi ni Barcelona. Messi ni wa timu, hachezi kwa maslahi yake binafsi ila kwa Barcelona.
Sidhani kama tukiwauliza Ibra na El Guaje watasema hicho ulichosema kuhusu Messi, au hata Coach wake, Lucho.-Hivi Mkuu, chelsea nayo unaihesabu kuwa ni timu ambayo Messi wanamuumiza Kichwa?
-Messi anacheza mpira kwa timu, hachezi ili awakomoe Chelsea au Arsenal, anapopata nafasi anafunga, akibanwa anatoa nafasi kwa wengine, huwa halazimisi kufunga kama Rinaldo.
-Messi ni Barcelona. Messi ni wa timu, hachezi kwa maslahi yake binafsi ila kwa Barcelona.