The Greatness of Black Colour

The Greatness of Black Colour

.

Screenshot_20220401-194730_Google.jpg
 
Kiukweli Jon Snow "Kit Harrington" amecheza vizuri sana kwenye Series ya Game of Throne. Ukianza na upole wake, hekima yake, Ujasiri wake (Courage) pamoja na upendo wake kwa ndugu zake na taifa lake kwa ujumla ni wakipekee.

He is very loyal and true.
So, siweze kushangaa kwa nini always ni top favorite kwenye Avatar zako.
Kwa sababu anarepresent something ambacho ni very true na sio rahisi kwa Mwanadamu wa sasa kubeba hizo characters.

Kiukweli I'm big fan too wa Jon Snow.
Da'Vinci
 
That's why I always appreciate you.
You admire someone not by artificial appearance. Nop, but for his/her brain intelligence, wisdom, smartness and Behavior.
Cc: Da'Vinci
Thanks for Appreciating me pal it really mean something to me🤗
That's it, Respect. You have to give it if you really need to receive it. I give you it back Pal.
But I'm just a random and Hideous person.

Sura na Muonekano vinaweza kubadirika ila that smart,kind,humble and wise person inside you will never change. That's why I always shoot in the box not out of it😢
pexels-photo-551590.jpeg
 
Kiukweli Jon Snow "Kit Harrington" amecheza vizuri sana kwenye series ya Game of Throne. Ukianza na upole wake, hekima yake, Ujasiri wake (Courage) pamoja na upendo wake kwa ndugu zake na taifa lake kwa ujumla ni wakipekee.
He is very loyal and true.
So, siweze kushangaa kwa nini always ni top favorite kwenye Avatar zako.
Kwa sababu anarepresent something ambacho ni very true na sio rahisi kwa Mwanadamu wa sasa kubeba hizo characters.

Kiukweli I'm big fan too wa Jon Snow.
Da'Vinci
Binafsi nikichukua character wote niliowahi kuwatazama kwenye series na muvi mabalimbali wapo kadhaa nawapenda na kuwafanya kama Idol wangu matendo yao ninajitahidi kuyaishi. Nitwapanga kwa mtirirko

1: Jon Snow (Game of thrones)
Huyu ndio character namba moja nayempenda toka nijue kuangalia Series na muvi, Sababu kuu Kwanza anajali hali za watu wengine, Hua hasemi uongo kamwe, Ana huruma yupo radhi kufa ajili ya wengine. Hana tamaa ya material au madaraka like me.
Ndio maana namtumia as my Avatar, and in real life kuna vitu tunafanana sitavitaja.
FB_IMG_16092633798711022.jpg

2: Glenn (Walking Dead)
Huyu jamaa ni mfano wa binaadamu wenye kujali maumivu ya mwingine. Yupo radhi kufa aokoe wengine namkubali sana kwa hilo...

3: Daredevil (Charlie Cox)
Huyu bwana namkubali sana na napenda alivyo Humble,smart and kindful he's Catholic like me. Kwa waliotazama series watakubaliana nami, Aliacha kazi baada ya intern alipogundua wanasema uongo (I'm obsessed with Truth too) Nachukia kuongopewa mno
daredevil.jpg

Ikitokea nataka kuonana na my favorite Actors then Kit Harrington, Charlie Cox na David Benioff (Writer/Creator wa Game of Thrones) ndio watakua watu wangu wa kwaza kuonana nao.
Wote niliotaja hapa they're kinda Introverts and humble person.
 
Binafsi nikichukua character wote niliowahi kuwatazama kwenye series na muvi mabalimbali wapo kadhaa nawapenda na kuwafanya kama Idol wangu matendo yao ninajitahidi kuyaishi. Nitwapanga kwa mtirirko

1: Jon Snow (Game of thrones)
Huyu ndio character namba moja nayempenda toka nijue kuangalia Series na muvi, Sababu kuu Kwanza anajali hali za watu wengine, Hua hasemi uongo kamwe, Ana huruma yupo radhi kufa ajili ya wengine. Hana tamaa ya material au madaraka like me.
Ndio maana namtumia as my Avatar, and in real life kuna vitu tunafanana sitavitaja.
View attachment 2172286

2: Glenn (Walking Dead)
Huyu jamaa ni mfano wa binaadamu wenye kujali maumivu ya mwingine. Yupo radhi kufa aokoe wengine namkubali sana kwa hilo...

3: Daredevil (Charlie Cox)
Huyu bwana namkubali sana na napenda alivyo Humble,smart and kindful he's Catholic like me. Kwa waliotazama series watakubaliana nami, Aliacha kazi baada ya intern alipogundua wanasema uongo (I'm obsessed with Truth too) Nachukia kuongopewa mnoView attachment 2172298

Ikitokea nataka kuonana na my favorite Actors then Kit Harrington, Charlie Cox na David Benioff (Writer/Creator wa Game of Thrones) ndio watakua watu wangu wa kwaza kuonana nao.
Wote niliotaja hapa they're kinda Introverts and humble person.
Very passionate and Strong Words.
Kuhusu Glenn and Charlie kiukweli sipo familiar nao............Natumaini nikipata muda, ntaanza kutazama movies/series kwa mmoja baada ya mwingine. I hope ntaadd something new in my brain.
I appreciate it, mate.
GD (GOOD DAY).
 
Back
Top Bottom