Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kwamba nami nijue kua wewe ni copy ya Keanu Reeves. Sifanani nae kwa lolote pal.Basi mimi nikajua wewe ni true copy ya "Kit Harrington".
Black is beautiful aliimba Mr.Flavour
That's why I always appreciate you.Hahaha kwamba nami nijue kua wewe ni copy ya Keanu Reeves. Sifanani nae kwa lolote pal.View attachment 2172215
Thanks for Appreciating me pal it really mean something to me🤗That's why I always appreciate you.
You admire someone not by artificial appearance. Nop, but for his/her brain intelligence, wisdom, smartness and Behavior.
Cc: Da'Vinci
Umenizidi sana coz me kwenye urefu simo ufupi nimo kidogo mi ni 5.5Kweli mimi mweusi na urefu wangu ni 5.8/9 sijui kwako kimo hichi kama kitakua ni urefu kwako.
I appreciate it pal.Sura na Muonekano vinaweza kubadirika ila that smart,kind,humble and wise person inside you will never change. That's why I always shoot in the box not out of it😢
View attachment 2172256
Binafsi nikichukua character wote niliowahi kuwatazama kwenye series na muvi mabalimbali wapo kadhaa nawapenda na kuwafanya kama Idol wangu matendo yao ninajitahidi kuyaishi. Nitwapanga kwa mtirirkoKiukweli Jon Snow "Kit Harrington" amecheza vizuri sana kwenye series ya Game of Throne. Ukianza na upole wake, hekima yake, Ujasiri wake (Courage) pamoja na upendo wake kwa ndugu zake na taifa lake kwa ujumla ni wakipekee.
He is very loyal and true.
So, siweze kushangaa kwa nini always ni top favorite kwenye Avatar zako.
Kwa sababu anarepresent something ambacho ni very true na sio rahisi kwa Mwanadamu wa sasa kubeba hizo characters.
Kiukweli I'm big fan too wa Jon Snow.
Da'Vinci
Very passionate and Strong Words.Binafsi nikichukua character wote niliowahi kuwatazama kwenye series na muvi mabalimbali wapo kadhaa nawapenda na kuwafanya kama Idol wangu matendo yao ninajitahidi kuyaishi. Nitwapanga kwa mtirirko
1: Jon Snow (Game of thrones)
Huyu ndio character namba moja nayempenda toka nijue kuangalia Series na muvi, Sababu kuu Kwanza anajali hali za watu wengine, Hua hasemi uongo kamwe, Ana huruma yupo radhi kufa ajili ya wengine. Hana tamaa ya material au madaraka like me.
Ndio maana namtumia as my Avatar, and in real life kuna vitu tunafanana sitavitaja.
View attachment 2172286
2: Glenn (Walking Dead)
Huyu jamaa ni mfano wa binaadamu wenye kujali maumivu ya mwingine. Yupo radhi kufa aokoe wengine namkubali sana kwa hilo...
3: Daredevil (Charlie Cox)
Huyu bwana namkubali sana na napenda alivyo Humble,smart and kindful he's Catholic like me. Kwa waliotazama series watakubaliana nami, Aliacha kazi baada ya intern alipogundua wanasema uongo (I'm obsessed with Truth too) Nachukia kuongopewa mnoView attachment 2172298
Ikitokea nataka kuonana na my favorite Actors then Kit Harrington, Charlie Cox na David Benioff (Writer/Creator wa Game of Thrones) ndio watakua watu wangu wa kwaza kuonana nao.
Wote niliotaja hapa they're kinda Introverts and humble person.