The Guardian: Israel inapoteza vita dhidi ya Hamas lakini Netanyahu na serikali yake kamwe hawataki kukubali

Hivi unajua Israel anatoka lini Gaza mpaka nyie Hamas mpange mipango mingine ya vita? Israel wamesema mipango yao ni kuhakikisha shambulio la aina hiyo halijirudii
Kwani huko mwanzo walikua wanataka nini???
Israhell mara zote hua anaipiga ghaza kwakisingizio cha kujilinda
Haya nambie hua anajilinda natishio gani toka ghaza
Narudia tena israhell akishindwa kuifuta hamas mara hii ajiandae na kipigo kikubwa zaidi ya hiki mlichokiona
Kama ntakua nipo hai ntakishuhudia kama ntakua nimekufa watu wataisoma hii koment hapa
Israhell nayeye anajua kama hamas ni hatari kwa uwepo wake ila sasa ataweza kuifuta acha tuone!!!
 
Hii vita ina udnganyifu mwingi sana wa taarifa. Juzi mtu anasema kikosi cha golan kinashangilia kuondolewa gaza, kumbe wanafurahi kuongezewa nguvu , idf imepeleka gaza kikosi maalumu cha wananwake cheeter btn.
 
Utawala wa Hamas Gaza ndio kwishnei watabakia historia tu ngoja wapagazi wao waendelee kujipa moyo.
 
Hahaha 😅😅
Unameza propaganda za kitoto nakuweka ushahidi wa Waisral wenyewe naomba kwa faida ya JF weka na wewe ushaidi wako usipoweka nakuweka kwenye list ya mapunguani wa JF…

Israel's Channel 13 reported on 21 December that the army’s elite Golani Brigade withdrew from Gaza following 60 days of fighting to “reorganize its ranks” after facing unprecedented losses during the first weeks of battle in the strip.

The news comes days after it was reported that the elite infantry unit had suffered major losses during the ground assault on Gaza.

Utawala wa Hamas Gaza ndio kwishnei watabakia historia tu ngoja wapagazi wao waendelee kujipa moyo.
Wewe Muisrael mweusi wa Chanika endelea na ushabiki mandazi Waisrael wa Tel Avi wanasema hivi bofya👇
 
Ten days ago, Israel’s leading daily, Yedioth Ahronoth, published information obtained from the ministry of defence’s rehabilitation department.
Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi
Dah Mkuu hii Tafsiri imenistua.

Kiongozi Mkuu wa Kila siku wa Israel ???🙌🙌🤣
 
Reactions: FWC
BREAKING: TAMKO RASMI LA HAMAS

MATEKA 5 HAWAPO

"Kutokana na shambulio hilo la kinyama la Israel, tulipoteza mawasiliano na kundi lililohusika na wafungwa watano, wakiwemo:

1- Haim Gershon Perry
2- Yoram Itak Metzger
3- Amiram Israel Cooper

Tunaamini kwamba wafungwa waliuawa katika moja ya uvamizi wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza
 
Kwahio kutumia chakula kama silaha ndio nguvu walizonazo idf zile mlizokua mnatusifia hapa???
Kwa hiyo Hamas kuteka maraia wa kiyahudi ndio kujua vita kwanini wasivamie mambo ya jeshi na kuteka wanajeshi umaenda kuteka bibi vizee na vitoto vya kiyahudi ndio Hamas wapo vizuri
 
Ingia opera utaikuta hiyo taarifa , alafu uje
 
Hii vita ina udnganyifu mwingi sana wa taarifa. Juzi mtu anasema kikosi cha golan kinashangilia kuondolewa gaza, kumbe wanafurahi kuongezewa nguvu , idf imepeleka gaza kikosi maalumu cha wananwake cheeter btn.
Kweli idf machoko,, yani wanaume wanafurahia kuongezewa nguvu na kikosi cha wanawake 😀,,, ngoja waende hao wanawake wakakutane na wanaume wa gaza wafilimbwe😃
Ila hawa jamaa wa idf walitulisha sana matango pori na jeshi Lao uchwara 😀
 
Kwa hiyo Hamas kuteka maraia wa kiyahudi ndio kujua vita kwanini wasivamie mambo ya jeshi na kuteka wanajeshi umaenda kuteka bibi vizee na vitoto vya kiyahudi ndio Hamas wapo vizuri
Hujajibu hoja
Chizi akitembea uchi wewe mwenye akili hutapimwa kwakutembea uchi pia
Israhell ilikua over-rated sana ila ni yakawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…