#COVID19 THE GUARDIAN: Madaktari Tanzania hawaruhusiwi kupima COVID-19 wala hata kutamka mgonjwa ana COVID-19

Kama hela za kununua chanjo ya corona hatuna, tukubali tuuziwe kwa mkopo. Hakuna jinsi.
 
Hili gazeti litafungiwa!
Jamani Watanzania tuwe makini na taarifa hizi zenye upotishaji wa kiwango kikubwa - reading between the lines kuhusu lawama ambazo gazeti la Guardian linavyo litwisha Taifa letu na Specifically Dk.Magufuli kuhusu maambukizi ya COVID-19/21 one gets the impression kwamba the brains behind this troll ni nchi jirani ambaye hata siku moja hajawahi kusema kitu +ve kuhusu Tanzania,watafanya lolote kuwatia taharuki potential tourists wanao taka kutembelea Tanzania,hawakupenda mafanikio ya Tanzania katika harakati zake za mwaka jana za kuhudhibiti ugonjwa wa COVID-19 na tulifanikiwa kusema kweli - hilo la kwanza.

La pili nchi hiyo kutaka kutumiwa kama wapiga debe wa chanjo ya makampuni makubwa ya dawa za huko Merikani na Ulaya - why am I saying this: kumbukeni ni Mataifa matatu tu barani Afrika walio toa kibari kwa kampuni ya Oxford kufanya majaribio ya chanjo zake kwa raia wa nchi hizo baada ya kufanya majaribio kwanza kwa sokwe mtu huko Uingereza,sasa angalia kilicho zisibu baadae nchi zote zilizokubali kuwa guinea pig wa chanjo za Oxford - ndio nchi zilizo kumbwa na COVID-19 variat ambayo wanasema ni more virulent na inasambaa kirahisi na kwa kasi - mataifa yaliyo kubali baadhi ya wananchi wake wafanyiwe majaribio ni: South Afrika,Kenya na Nigeria - zote zimekumba na COVID-19 variant, halafu baadae variat hii kuanza kusambaa kwa nchi jirani kutokana na aidha mwingiliano wa watu au kimaksudi! Kilicho nishangaza zaidi ni pale
Wizara ya afya ya Kenya iliposema eti COVID-19 imegundulika ndani yataifa hilo huko mji wa mpakani wa TAVETA of all places,just imagine - mikawa najiuliza maswali mengi why TAVETA mpakani mwa Kenya na Tanzania - kuhibuka kwa new variant kwenye mataifa yote yalio kubali kufanyiwa majaribio ya chanjo za Oxford kunazuwa maswali mengi: Je, hii ilikuwa ni plan "B" yaku athili kwa kiwango Waafrika ambao walionekana hawafi kwa wingi tofauti na Mkewe Bill Gates alivyo tabari kwamba waafrika watakuwa wanaokotwa kwa wingi barabarani wakiwa wamekufa - sasa ndio wanatujia na mpango mpya wa kutumaliza au kuleta taharuki ndani ya jamii ili Serikali zao zikubali kununua chanjo za makampuni ambayo yanafadhiliwa kwa kiwango kikubwa na foundation yarBill Gate na mkewe ili wayekeleze ajenda zao za siri kuhusu Bara la Afrika kwa kupitia chanjo zao - mpago huu walikuwa nao kwa muda mrefu, pandemic hii ndio imewapatia a golden chance ya kuyekeleza uovu wao maana wanajuwa kila mtu Duniani atapaswa kuchanjwa - hakuna ujanja na as I said hakuna atakaye kwepa kuchanjwa,hivyo kuwapatia mwanya akina Bill Gates na genge lake kutumbukiza ajenda zao kwenye batch za chanjo zitakazo letwa Barani Afrika.

Now back to the main point: abrasive comments za gazeti la Guardian lina malengo mawili, la kwanza ni kuleta taharuki kwa wananchi ili walazimishe Serikali zao kununua chanjo kutoka makampuni yanayo fadhiliwa na Bill Gates na mkewe, kwa maneno mengine Gazeti la Guardian
linapigia debe chanjo za Bill Gates na genge lake ili wapige hela ndefu wakitumia mbinu za kuleta taharuki kwenye jamii - na wakiwakuta baadhi ya Viongozi wa Kiafrika walio corrupt ndio wanawatumia kuendeleza ajenda zao.

Kitu cha kujiuliza hapa iweje msimamo thabiti wa Dk.Magufuli kuhusu chanjo unapigwa vita mpaka na MSM za magharibi zinapoteza fedha nyingi kumsema vibaya Dk.Magufuli as if yeyegni Rais wa Dunia akipinga kitu ni final Dunia itakaa chini kusikiliza maoni yake na kuyafanyia kazi - narudia kukumbusha kwamba chunguzeni hoja kubwa za kusemwa vibaya na western Nations as if Tanzania ndio limekuwa tanuru la kuzalisha maambukizi ya Kovid-19/21,wakati ukweli ni kwamba USA inayo nyoshea kidole mataifa mengine hasa hasa Tanzania kumbe USA ndio inaongoza kwa maambukizi Duniani na wala hawana mbinu mbadala za ku-contain ugonjwa huu nchini mwao.

Jana kwa mfano: nilishangaa baada ya kuona Merikani inataka ishirikiane na China, eti "kutokomeza ugonjwa wa COVID-19 Duniani!!" USA wamekuwa wapole baada ya mambo kuwafika shingoni, wakaona hakuna jinsi lazima wawakimbilie Wachina ambao Trump na Pompeo walikuwa wana wasema sema vibaya na kuwazulia stori za kuchonga tu ili mradi wachina waonekane ni binadamu wenye nia ovu Duniani kote,Chuo kikuu cha huko Merikani na Chuo kikuu cha Tshinghua huko Uchina wana washirikisha wataalamu wa fani ya Molecular Biology na Immunology kutafuta mbinu sahii ya kutokomeza ugonjwa huu hatarishi, wanatumia video conferencing kupanga strategy - kama ushirikiano baina ya China na IUSA ungekuwepa tangu mwanzo mwa mlipuko wa COVID-19 mambo yasingekuwa mabaya kwa USA kama yalivyo sasa, Wachina wana exoetience kubwa jinsi ya ku-deal na ku-contain maabukizi ya COVID-19 na ushahidi hupo wa kuthibitisha ukweli huo - Wachina wamefanikiwa sana kwa suala hili na wala hakuna ubishi.
 
Andiko lako limeegema upande mmoja ndugu katika hii dunia ya ustarabu bila ya wazungu nchi nyingi za africa bado zingekuwa gizani, lawama na masimango ni jadi ya mwafrika tunawalaumu wazungu kuleta chanjo zisizokidhi vigezo kama mnavyodai wakati hakuna juhudi yeyote kwa Tz kutengeneza chanjo zake
 
Una uhakika na hizo tuhuma au kwakuwa gazeti la guardian limeandika hivyo, kwa sababu point after point ulioandika haina mantiki na hapa kuna watu wanaugua na kupona na kuna wasiopona, sasa hai wanaopona wanaponaje kama hawakutambuliwa kama wana ugonjwa
 
Kitachotokea dunia itapofunguliwa ,tanzania ndo tutajua hatujui na jamaa litakuwa zake chato maana kuna hadi hotel ya nyota 5 limejenga ,imagine leo hata burundi ukitaka vuka ukisema mtanzania watu wanavaa barakoa
 
Maisha ya Bongo ni Bongo movie tosha.
 

Mnarudia rudia hoja zile zile - nani kawambieni kwamba chanjo ndio njia pekee ya ku-contain ugonjwa huu, angalia stastics kila Nchi hapa Duniani ni wangapi waliambukizwa na kupona na wangapi walipoteza maisha, waliopoteza maisha ni wachache sana ukilinganisha na walio pona ugonjwa huu - mnacho sahau ni kwamba ugonjwa huu imekwisha geuzwa ni biashara za kupiga hela ndefu kwa kupitia chanjo ambazo hazijawahi kufanyiwa utafiti wa kutosha na kujiridhisha kwamba chanjo hizo hazina madhara in short na long term kwa wale watakao kubali kuchanjwa - repeat, hata watengenezaji wa chanjo zenyewe ukiwabana kwa maswali ya kisayansi wanapata kigugumizi kukupatia majibu ya kuridhisha na hawataki kuji-commit kuhusu ufanisi wa chanjo zao na kibaya zaidi wameweka clause inayo sema kwamba in case something goes terribly wrong si victim au Serikali itakuwa na uwezo wa kuwajibisha kampuni hizo, in other words kumpuni za chanjo haziwezi kuwa-held responsible by any Authority au individual! What does that tell you? Hivi inaingia akilini kwamba kampuni zinazo amini dawa/chanjo zao wanaweza kweli kuongeza vipengele tatanishi vya sheria kama hivyo ili kujilinda dhidi ya mashtaka yanayo weza kujitokeza hapo baadae kama watumiaji wa chanjo watapata matatizo kwa kuugua au kufariki baada ya kuchanjwa, jibu na hapana.

Having said this, mimi bado na amini kwamba ukweli utabaki kwamba chanjo za Big Pharma Companies zimesheheni changa moto hatarishi kwa matumizi ya binadamu ambazo nyingi ya changa moto hizo hazijakuwa properly addressed mpaka sasa, kinacho fanywa na makampuni hayo ni kutaka kuziwahisha chanjo sokoni kabla ya washindani wao - lengo likiwa ni kutaka ku-rake-in trillion of Dollars kutoka kwa mataifa maskini ambayo WHO ina washauri zichukuwe mikopo kutoka World Bank ili wanunulie chanjo, bila ya kujali mzigo wa madeni ambayo nchi changa zitalazimika kubebeshwa 4 years on end. Sasa mambo kama hayo including utata wa chanjo zenyewe ndio unamfanya Dk.Magifuli awe highly sceptical kuhusu chanjo hizo, wanao mbeza beza aidha hawajielewi kutokana uelewa wao mdogo kuhusu jinsi ya kinga ya mwili inavyo fanya kazi na utofauti wa chanjo zinazo zalishwa kupitia teknilojia ya kijinetic ie mRNA na chanjo zinazo zalishwa kupitia traditional technique ya kutumia attenuated covid-19 virus ili kuzalisha chanjo - Magufuli yuko well informed kuhusu masuala haya - msimchukulie poa hata kidogo.
 
Wewe ambae serikali yako haijatenga fungu la madaktari bigwa kupata muafaka wa chanjo kwa ajili ya wanaanchii wake Unatoa wapi nguvu ya kum bana mwanasayansi aliekaa maabara kuchunguza virus na kuja na chanjo.

Acheni akili mgando za kuamimishwa ujinga na magu kama yeye hapatani na wazungu asipandikize chuki kwa wananchi abaki na chuki zake yeye sio malaika kwamba kila asemacho ni kweli narudia tena kusema Afrika bila ya wazungu hata saiv tusingepata muda wa kubisha humu wao wamefanya urahi kwenye kila jambo kupitia uweza na kipawa walichopewa na Mwenyezi Mungu na pia binadam wamehangaisha bongo zako kila kukicha kuweza kuleta uwepesi kwenye kila jambo linalohusu teknolojia, afya usafiri, na mengne mengi Afrika tumejaliwa uchawi kusimanga wengine kulogana kusemana vibaya umbea na taka taka zote kwahyo tuwe wapole itafka mda tutaamini chanjo za wazungu ni suala la mda tu.
 
Nchi ipo kwenge vita ya majimaji kwa maelekezo ya amiri jeshi
 
Tungekuwa na vyombo vitano vya habari visivyo na hila kama The Guardian nchi yetu ingekuwa mbali sana.
Hilo ni gazeti la The Guardian la Uingereza siyo hili la kwetu. Hawa wa kwetu waliiga tu jina la kibeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…