The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Eti reviews laws. Khaa!!

Edition yenu ya 19th Jan 2022.

Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.

Usahihi hapo ni 'Ministry review laws on community development'

Kama wangetaka kutumia 'reviews' wangesema

Ministry reviews the au simply law on community development.

Editor anapobofoa kizungu inakuwa shida sana.

20220119_215756.jpg
 
Hawajakosea hapo bwana we. Usitupigie kelele usiku huu. Unajikuta unajua sana Kiingereza kumbe upo sifuri kabisa.
Hata hivyo kuna sehemu wamekosea kwenye habari ya hunting. Wameandika "he is arrived in the US yesterday...".
 
Back
Top Bottom