dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
duh, hata supameni hana kasi kiasi ichoJan. 22nd 2022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh, hata supameni hana kasi kiasi ichoJan. 22nd 2022
we jamaa ni bonge la kilaza.Eti reviews laws. Khaa!!
Edition yenu ya Jan. 22nd 2022.
Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.View attachment 2088535
Wameandika "he is arrived in the US yesterday...".
ulitaka waandikaje?Eti reviews laws. Khaa!!
Edition yenu ya Jan. 22nd 2022.
Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.View attachment 2088535
Hapo wametoa bokoHawajakosea hapo bwana we. Usitupigie kelele usiku huu. Unajikuta unajua sana Kiingereza kumbe upo sifuri kabisa.
Hata hivyo kuna sehemu wamekosea kwenye habari ya hunting. Wameandika "he is arrived in the US yesterday...".
Kiongozi mswalie Mtume!!!Reviews =present continuous tense
N'yadikwaEti reviews laws. Khaa!!
Edition yenu ya Jan. 22nd 2022.
Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.View attachment 2088535
Hiyo sentesi iko sawa kabisa
Reviews ni simple present tense inayoonesha kwamba wizara huwa inapitia hizo sheria wakati wote
Nafikiri mtoa mada amechanganya kwa kuangalia plurality ya laws wakati subject pale sio hiyo bali ministry.
Ingekuwa ni ministries hapo ingekuwa kosa.
Kama subject ni singular basi tunaruhusiwa kuongeza "s"kupata simple present
WIZARA YAPITIA...Kichwa chako ndio kinakuangusha. Usisingizie The Guardian. Ministry reviews laws maanake ni kuwa Wizara inapitia sheria...
Hii tabia ya kukosoa bila kurekebisha inaudhi sana. Wewe ukiwemo na mkosoaji mwenzio.Kajifunze tena Kiingereza ndugu mkosoaji.
Wanajificha Kwenye Kivuli.Hii tabia ya kukosoa bila kurekebisha inaudhi sana. Wewe ukiwemo na mkosoaji mwenzio.