Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Ministry reviews = Ministry is reviewing. Both are in the present tense. They both mean happening now.
WIZARA YAPITIA...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WIZARA YAPITIA...
Ni simple present mkuu sio continuousReviews =present continuous tense
Ni simple present mkuu sio continuous
Kwa radio ya DW Swahili huwa hawakosei?.. kimsingi si taarifa imefika lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti reviews laws. Khaa!!
Edition yenu ya Jan. 22nd 2022.
Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.View attachment 2088535
Revews? Na wewe ni editor?Revews = hupitia, revew = kupitia, s ndiyo imeleta utata kwenye hiyo habari
Hiyo ni simple present mkuu..Reviews =present continuous tense
Wewe ndo litiganga sasa, kosa liko wapi hapo?😀Eti reviews laws. Khaa!!
Edition yenu ya Jan. 22nd 2022.
Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.View attachment 2088535
Weka masahihisho tuone kama nawe ngeli inapandaEti reviews laws. Khaa!!
Edition yenu ya Jan. 22nd 2022.
Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.View attachment 2088535
Hata grammarly kuna muda hukosea ni AI ileKwa radio ya DW Swahili huwa hawakosei?.. kimsingi si taarifa imefika lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au unataka waanze kutumia grammarly??
With an S suffix khaa !!!Reviews =present continuous tense
Law's review in ministryMapitio ya sheria wizarani! Geuza sentensi hii kwa kiingereza