The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Eti reviews laws. Khaa!!

Edition yenu ya 19th Jan 2022.

Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.

Usahihi hapo ni 'Ministry review laws on community development'

Kama wangetaka kutumia 'reviews' wangesema

Ministry reviews the au simply law on community development.

Editor anapobofoa kizungu inakuwa shida sana.

View attachment 2088535
Mbona sentensi ni sahihi ilivyoandikwa? Katika sentensi hii, 'ministry' ni subject; 'reviews' ni verb katika third person singular; 'laws' ni object; 'on community development' ni maneno yanayoainisha which laws were reviewed. Sentesi hii ni sahihi 100%.
 
Hii ni pure future tense mkuu, hakuna present action yoyote hapo.

This is synonymous to "Magufuli will inaugurate JNHPP"

Ni issue ya modal verbs tu hapo.

This is Simple Present Tense and the action is already in place or has shortly happened... Siyo lazima kuwepo na a recent plan.
You should go back to school.
 
They are different and yet they mean the same thing. Turudi kwenye mother tongue sasa, labda tutaelewana vizuri. Ni nini tofauti kati ya "Wizara yapitia" na "Wizara inapitia" katika Kiswahili?

Huu ubishi ni sawa na ubishi wa kusema maana ya "I am going tomorrow" na "I will go tomorrow" ni tofauti. They are different structure-wise but mean the same thing.
But, one is in the simple while the other in the continuous present tense. They cannot mean the same thing.
 
They are different and yet they mean the same thing. Turudi kwenye mother tongue sasa, labda tutaelewana vizuri. Ni nini tofauti kati ya "Wizara yapitia" na "Wizara inapitia"?

Huu ubishi ni sawa na ubishi wa kusema maana ya "I am going tomorrow" na "I will go tomorrow" ni tofauti. They are different structure-wise but mean the same thing.
Hata kwa kutamka tu, ni wazi kwamba sentensi hizo ni tofauti KABISA! Moja ni completed action (in the recent past), na nyingine ni active & endelevu--immediate continuous, active present. Two different things! See?
 
Wizara yapitia = iko katikati ya mchakato. Kuna sheria tayari imekwishapitia, kuna sheria inapitia sasa na kuna sheria bado hazijapitiwa. Kunaweza kuwa na scenarios nyingi zenye kumaanisha hiki hiki. Inaweza kuwa ndio imeanza leo kupitia hizo sheria.

Wizara inapitia = iko katikati ya mchakato. Kuna sheria tayari imekwishapitia, kuna sheria inapitia sasa na kusheria bado hazijapitiwa. Pia kunaweza kuwa na scenarios nyingi zenye kumaanisha hiki hiki. Inaweza kuwa ndio imeanza leo kupitia hizo sheria.

Wizara imepitia (Ministry has reviewed) = Completed action.
Hata kwa kutamka tu, ni wazi kwamba sentensi hizo ni tofauti KABISA! Moja ni completed action (in the recent past), na nyingine ni active & endelevu--immediate continuous, active present. Two different things! See?
 
Siyo lazima iwe plural. Unaweza kuichukuwa Wizara kama collective noun na kwa hiyo ikawa singular. Kama vile unavyosema "My family is big" na wala siyo "My family are big".
Mkuu jamaa yuko sahihi kabisa; we don't add an s kwenye verb with plural noun.
 
Hiyo sentesi iko sawa kabisa
Reviews ni simple present tense inayoonesha kwamba wizara huwa inapitia hizo sheria wakati wote
Nafikiri mtoa mada amechanganya kwa kuangalia plurality ya laws wakati subject pale sio hiyo bali ministry.
Ingekuwa ni ministries hapo ingekuwa kosa.
Kama subject ni singular basi tunaruhusiwa kuongeza "s"kupata simple present
Soma content alafu ulinganishe na kichwa cha habari utajua kuwa mleta maada yuko sahihi.
 
Wizara yapitia = iko katikati ya mchakato. Kuna sheria tayari imekwishapitia, kuna sheria inapitia sasa na kuna sheria bado hazijapitiwa. Kuna weza kuwa na scenarios nyingi zenye kumaanisha hiki hiki. Inaweza kuwa ndio imeanza leo kupitia hizo sheria.

Wizara inapitia = iko katikati ya mchakato. Kuna sheria tayari imekwishapitia, kuna sheria inapitia sasa na kusheria bado hazijapitiwa. Pia kunaweza kuwa na scenarios nyingi zenye kumaanisha hiki hiki. Inaweza kuwa ndio imeanza leo kupitia hizo sheria.

Wizara imepitia (Ministry has reviewed) = Completed action.
Nitakujibu baadaye ngoja kwanza tulijenge taifa letu zuri huku. But, all in all, unaweza kuwa older chronologically, ila uko way younger kwenye hiki kitu.
 
Back
Top Bottom