Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
mtoa mada kasomea chini ya muembe mbona hapo yupo sawa tatizo umekaririshwa ujaelewa soma tena usipo elewa uje uniulize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
^maada^?Swadakta; hivyo mleta maada yuko sahihi
hapo kweliHawajakosea hapo bwana we. Usitupigie kelele usiku huu. Unajikuta unajua sana Kiingereza kumbe upo sifuri kabisa.
Hata hivyo kuna sehemu wamekosea kwenye habari ya hunting. Wameandika "he is arrived in the US yesterday...".
Shida haiko kwenye;- ministry reviews
bali iko kwenye;- reviews laws
Hapo wewe una shida ya subject na object. Noun inayopaswa kuangaliwa ni ^ministry^ (subject), na wala siyo ^laws^ (object)!Mkuu jamaa yuko sahihi kabisa; we don't add an s kwenye verb with plural noun.
'S' haina utata wowote, imewekwa s kwenye kitenzi 'review' kwa sababu Ministry ni Wizara na unaweza ukaireplace na It as a pronoun. Sasa Wizara/it unapoitumia katika nafsi ya 3 umoja lazima kitenzi kiwe 's'. As such, kwa Kiswahili hiyo heading inasomeka, Wizara kupitia sheria juu ya maendeleo ya jamii, shida iko wapi? Unaweza sema, Rais kutembelea Marekani (President Samia/She visits to America. Moja ya matumizi ya simple present tense ni kuelezea jambo ambalo halijafanyika, sio lazima utumie future.Swadakta; hivyo mleta maada yuko sahihi
She visits to America
Nitakujibu baadaye ngoja kwanza tulijenge taifa letu zuri huku. But, all in all, unaweza kuwa older chronologically, ila uko way younger kwenye hiki kitu.
Kwa sababu ministry ni collective noun.How? Usiishie njiani. Nenda kabisa hadi Magufuli International Bus Terminal, ili tuone mambo kwa uwazi.
Nashani huijui naun vizuri hapa tunaangalia ni noun gani imetumika.Hapo wewe una shida ya subject na object. Noun inayopaswa kuangaliwa ni ^ministry^ (subject), na wala siyo ^laws^ (object)!
Ukusoma kontenti na tafsiri yako unaona ni sawa kabisa?'S' haina utata wowote, imewekwa s kwenye kitenzi 'review' kwa sababu Ministry ni Wizara na unaweza ukaireplace na It as a pronoun. Sasa Wizara/it unapoitumia katika nafsi ya 3 umoja lazima kitenzi kiwe 's'. As such, kwa Kiswahili hiyo heading inasomeka, Wizara kupitia sheria juu ya maendeleo ya jamii, shida iko wapi? Unaweza sema, Rais kutembelea Marekani (President Samia/She visits to America. Moja ya matumizi ya simple present tense ni kuelezea jambo ambalo halijafanyika, sio lazima utumie future.
Kivipi naomba ueleze shida iko wapi hapo!Shida haiko kwenye;- ministry reviews
bali iko kwenye;- reviews laws
Ministry ni collective noun hivyo tukiwa na collective noun lazima verb iwe singular unless the subject is acting as an individual entityKivipi naomba ueleze shida iko wapi hapo!
You should.You should go back to school.
Inaugurate ina maana gani?Hii ni pure future tense mkuu, hakuna present action yoyote hapo.
This is synonymous to "Magufuli will inaugurate JNHPP"
Ni issue ya modal verbs tu hapo.
This is Simple Present Tense and the action is already in place or has shortly happened... Siyo lazima kuwepo na a recent plan.