The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

Hahahahah mkuu uko makini kweli! “he is arrived in the US yesterday” hapo kweli kuna kipengele.

“He has arrived in the US yesterday” hili ndio sahihi japo mie sijuagi kutofautisha tense ila pakikosewa huwa najua.
Hahaha nipo makini haswa. Shuleni na chuoni nilikuwa na proof read karatasi za wenzangu.
Na bado umekosea. Ni "he arrived in the US yesterday..."
 
Hahaha nipo makini haswa. Shuleni na chuoni nilikuwa na proof read karatasi za wenzangu.
Na bado umekosea. Ni "he arrived in the US yesterday..."
Hahahahah sawa mkuu mie tense sio fundi ila nilichoandika hakina kosa lolote
 
Hayo makosa walioyafanya hapo na wanaondelea kuyafanya wengine kwenye Uzi huu wataalamina tunayaita ni COMMON MISTAKES IN SUBJECT VERB AGREEMENTS...warudie madesa ya PHONOLOGY.
 
Eti reviews laws. Khaa!!

Edition yenu ya 19th Jan 2022.

Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.

Usahihi hapo ni 'Ministry review laws on community development'

Kama wangetaka kutumia 'reviews' wangesema

Ministry reviews the au simply law on community development.

Editor anapobofoa kizungu inakuwa shida sana.

View attachment 2088535
Hahahaaaaa mkuu wewe ndo hujui kiingereza.

'Ministry reviews laws' ni sahihi. Hiyo ya kwako 'Ministry review laws' siyo sahihi. Ya the guardian ni sahihi kwa sababu mwandishi kaanza na 'Ministry' ambayo iko in singular form kwa hiyo neno linalofata reviews ni sawa. Angeandika 'Ministries' neno linalofata lingekuwa review.

Itabidi ujisalimishe kwa Ras Simba mkuu, na uwaombe radhi the Guardian.
 
"He has arrived in the USA yesterday." Nafikiri kuna tofauti kati ya "has" na "had."

"Has" ni Present perfect/Present perfect continuous" lakini "Had" ni Past perfect/Past perfect continuous. Kama ndani mwake tendo linaendelea basi kwenye"has au had" tunaongeza "been."

Mfano "He has arrived now"
"He had arrived yesterday

Matumizi ya dhana hizo mbili yaani"has na had" yanategemea Noun/Pronoun +verb/action +time
Kazi kweli kweli
 
Hahahaaaaa mkuu wewe ndo hujui kiingereza.

'Ministry reviews laws' ni sahihi. Hiyo ya kwako 'Ministry review laws' siyo sahihi. Ya the guardian ni sahihi kwa sababu mwandishi kaanza na 'Ministry' ambayo iko in singular form kwa hiyo neno linalofata reviews ni sawa. Angeandika 'Ministries' neno linalofata lingekuwa review.

Itabidi ujisalimishe kwa Ras Simba mkuu, na uwaombe radhi the Guardian.
Nimsaidie hapo ili na wewe ujisalimishe kea rad simba; ministry ni collective noun.

Sasa kaangalie jinsi gani collective noun inatakiwa kutumika then urudi hapa
 
Hayo makosa walioyafanya hapo na wanaondelea kuyafanya wengine kwenye Uzi huu wataalamina tunayaita ni COMMON MISTAKES IN SUBJECT VERB AGREEMENTS...warudie madesa ya PHONOLOGY.
Hakunaga kitubkinaitwa common mistake kwenye uandishi.

Hivi unajua uandishi wako u aweza kusababisha watu wasisome habari yako?
 
Wewe ndio umeanguka na kiherehere chako hicho. Reviews laws ni kiingereza sahihi.
cc Lwiva
Sio kweli : Add an “s” to the verb if the subject is third-person singular. Do not add an “s” if the subject is plural. Hii ni general rule wanaojua kiingereza wanalielewa hilo editor wa Guardian kabofoa hapo.
 
Hiyo sentesi iko sawa kabisa
Reviews ni simple present tense inayoonesha kwamba wizara huwa inapitia hizo sheria wakati wote
Nafikiri mtoa mada amechanganya kwa kuangalia plurality ya laws wakati subject pale sio hiyo bali ministry.
Ingekuwa ni ministries hapo ingekuwa kosa.
Kama subject ni singular basi tunaruhusiwa kuongeza "s"kupata simple present
Daah unajua vizuri sana Mkuu kama mimi navyojua hesabu ila huko kwenye present past tense naunga unga tuu...
 
Back
Top Bottom