The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

Hiyo sentesi iko sawa kabisa
Reviews ni simple present tense inayoonesha kwamba wizara huwa inapitia hizo sheria wakati wote
Nafikiri mtoa mada amechanganya kwa kuangalia plurality ya laws wakati subject pale sio hiyo bali ministry.
Ingekuwa ni ministries hapo ingekuwa kosa.
Kama subject ni singular basi tunaruhusiwa kuongeza "s"kupata simple present
 
kingereza kipo safi tu iko... kama kuna masahihi basi mtoa mada angeweka na masahihisho yake
 

WIZARA YAPITIA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…