The Guardian (UK)- UAE owns 8% of Tanzania’s forest

Miradi mingi ya Carbon ni wizi wa waziwazi

Misitu ya kwetu iweje wachukuwe % kubwa ya mauzo kwenye Kapu lao

TFS hii dhambi haita waacha....wawekezaji wa ukweli mmewakwamisha mkawabeba Waarabu...hii miradi ni bom lingine huko mbele ...Carbon GOLD BLOOD

Rethink....
 
Inasisimua na kutia hasira sana
Ndo maana wanakimbilia kubadili sheria ya umiliki wa ardhi ili wageni wapewe umiliki wa moja kwa moja.
 
Lakini hapo nimeona zipo Nchi nyingine pia zimeingia hiyo mikataba sio Tanzania pekee !!
Lazima kutakuwepo na manufaa makubwa 🙏🙏
Akili gani hii? Nchi nyingine maskini kama Zambia, Liberia ndio mfano wa kuigwa

Huu ni ujinga wa karne unampa mtu ardhi yako. Atawapiga marufuku wananchi wanayoizunguka hiyo ardhi kuitumia.

Unampa kwa mikataba ambao hauwekwi wazi, hakuna uwazi kwenye terms and conditions zao kama mkataba wa DP world.

Wenyewe Dubai ndio watauza hizo carbon credit kwa wengine na kuchukua 70% ya faida.

Kwanini, tusihifadhi wenyewe hii misitu kama tulivyofanya toka uhuru na tusiuze wenyewe direct kwa mtu wa mwisho?

Kumuweka huyu dalali kwa miaka 30 na Mo dewji kunalisaidia vipi hili taifa?
 
Hii kampuni Carbon Tanzania inamilikiwa na nani?

Kuna uhusiano gani kati ya kampuni ya Blue Carbon, Carbon Tanzania na Mo Dewji?

Shareholders na stakeholders ni akina nani?

Kwanini dili kubwa kama hili in effect kuuza ardhi ya Tanganyika inafanywa kinyemela bila mjadala wa kitaifa?

 

Tanzania signs major carbon credit deal covering national parks​




Tanzania has signed a deal for one of East Africa's biggest land-based carbon credit projects.
The project covers six national parks, spanning 1.8 million hectares (4.4 million acres).
Tanzania, which has forest resources of nearly 48 million hectares, has emerged as one of the leading African players in the global carbon credit trade.
It comes as world leaders are in Dubai for the COP28 summit aimed at finding ways to tackle climate change.
Carbon credits work like this: an organisation that pollutes can buy a credit which is worth one tonne of carbon dioxide.
The money paid by the organisation is meant to go towards carbon-lowering schemes, so for every tonne of carbon dioxide (CO2) emitted, the credit represents a tonne of CO2 that was captured.
In this way, the overall amount of (CO2) and other pollutants produced is supposed to stay the same, or even be lowered.


The new deal is an alliance between Tanzania's national park management agency, Tanapa, and Carbon Tanzania, a locally based company.
Some of the revenue from the sale of carbon credits will go to Tanapa and local communities, Carbon Tanzania said on Thursday.
Aside from facilitating the trade in carbon credits, the project will also "focus on the protection, conservation, and enhanced management of these national park areas, safeguarding their natural ecosystems and vital wildlife resources", the company added.
The six national parks designated for the project are Burigi-Chato, Katavi Plains, Ugalla River, Mkomazi, Gombe Stream and Mahale Mountains.
The project will receive additional funding from Mohammed Enterprises Tanzania Limited, an agricultural and manufacturing company owned by prominent Tanzanian businessman Mohammed Dewji.
In February, Tanzania entered a preliminary agreement for an even far bigger carbon credit deal, covering 8.1 million hectares, nearly 8% of Tanzania's total land mass.
February's agreement was entered with Blue Carbon, a UAE company that says it provides nature-based solutions and carbon removal projects using modern approaches.
In recent years, there has been an increase in carbon-offsetting companies taking control of land in sub-Saharan Africa for multi-year carbon-credit projects, which some critics say is a form of neo-colonialism.
Blue Carbon has been particularly criticised by environmentalists.
The company says its projects are done under strict regulation and benefit local communities. It also says that countries partner with it voluntarily.
The Emirati company has also signed Memorandums of Understanding (MoUs) relating to carbon credits with other African countries, including Liberia, Kenya, Zambia and Angola.
If finalised, these proposals could produce deals granting Blue Carbon control of massive areas of land in these countries for use in carbon credits production.

 
Duh! Huyu Mama ni laana. Na kuna siku huyu atakuwa ndiye Rais atakayechukiwa kuliko mwingine yeyote.

Misitu ni ya kwetu, anaigawa kwa Waarabu, halafu waarabu wanalipwa pesa na shirika la mazingira la Dunia kwa sababu misitu inasaidia kupunguza hela ukaa. Huu kama siyo uharamia ni nini? Maana hiyo pesa ilistahili kuingia kwenye mapato ya Taifa letu.
 
Rais Samia bado ni rais bora sana,licha ya changamoto hizo.
Ngoja tuone ataziuza mbuga ngapi nyingine kwa hawa waarabu kwa miaka mingapi?

Hizi dili huwa wanasaini kwa siri kila akienda huko Dubai.

Bandari tayari tumewakabidhi DP world. Loliondo Tayari Dubai tumewapa Dubai kwa kuwafukuza Wamasai.

Kwenye mbuga aslimia nane SSH sasa hivi amekabidhi kwa kampuni ya Blue Carbon ya Dubai.

Zimebaki 92% kabla ya muda wake kuisha nahisi atakabidhi hizo asilimia 92% zilizobaki kwa Waarabu kabla hatadhibitiwa huyu Mwanamke.
 
Ndiyo huo mkataba wa kutunziwa misitu yetu na waarabu au?
 
Hapo sasa !!
Same to madini same to gesi yetu ya ntwara !!
Tunapendaga vile vilivyopo tayari mezani !!
 
Lakini hapo nimeona zipo Nchi nyingine pia zimeingia hiyo mikataba sio Tanzania pekee !!
Lazima kutakuwepo na manufaa makubwa [emoji120][emoji120]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…