Huwa sina masihara, kwenye maswala ya namna hii. Kama wewe hunielewi, tazama rekodi yangu humu.Hivi unaelewa maana ya Carbon Credits jinsi inavyofanya kazi?
Ninakwambia hivi, ninaweza kukufundisha wewe hayo maswala, hakuna 'rocket science' hapo.
Nyinyi "machawa" mnaichafua sana hii nchi imekuwa kama ya wachekeshaji tu, toka juu kabisa kwenye mkuu wa nchi mpaka huko chini..
Wewe ni mpumbavu unaponihusisha na ukabila kama ulivyofanya hapo juu.
Kuanzia hapo tu ninakudharau moja kwa moja.