Hakuna cha hotel hapo ,hayo ni maigizo na uhuni tu .Kwaiyo ni kosa kujenga hotel ya nyota Tano njombe?
Hujui ulimwengu unapoelekea na kinacholengwa ,wewe unadhani nguvu iliyotumika kuhamisha maelfu ya wamasai kule ngorongoro ni bure bure tu ili mtu apate kipande cha Hekari 10 ajenge hotel au sio ?
Kinacholengwa ni kupora ardhi kwa wananchi na kuigawa kifisadi kwa mabwanyenye na watu corrupt ili waanze kuvuna carbon subsidies za UN
Ni pesa ndefu za bwerere ambao ni mwanya wa mafisadi na watu unethical kuprosper kupitia hayo mapato na masikini kuendelea kuwa masikini zaidi