The Guardian: Wamasai kufukuzwa kupisha Mwarabu (UAE) kuwinda Wanyama!

Hivi vitu viwili vinawezwa kufanywa kwa pamoja kuwasaidia wamasai na kuendeleza utalii.

Unafikiri USA, UK, EU wangefanya huu uhuni kwa watu wao.
 
Tuache ujinga, wamasai waondolewe haraka Serengeti ili tuendelee kuwa na hiyo hifadhi.Leo hao watu wako laki na nusu miaka mingi baadaye watafika milioni 2,hawataweza kuendelea kuishi maporini bila huduma za msingi.
Kumbukeni kwamba wakati wa Muungano Wazanzibar walikuwa laki 3 lakini leo wako milioni 2.
Wamasai wapelekwe maeneo mengine wapewe huduma za msingi kama afya,elimu,maji,umeme n.k na pia wafundishwe ufugaji wa kisasa wenye tija.
Serikali isisikilize kelele za wachumia tumbo kama inaamini Ina mpango mzuri kwa ajili ya hao Wamasai.
 
Mnataka muwapeleke wamasai sehemu nyingine ili mpate namna ya kuhamisha wanyama wetu vizuri? Mwarabu anataka watalii waishie Dubai ninani atakuja Tena Tanzania kushangaa tembo wakati Kuna tembo Dubai? Tatizo mna tamaa ya ela lakini hamwangalii kizazi kijacho
 

Lakini sababu ya kufukuzwa kwa Watanzania Wamasai ni kupisha Mwarabu na siyo kuhifadhi Serengeti!
 
Hili gazeti sio Mungu bali limepelekewa taarifa na Andiko hili kutoka kwa Beneficially wa eneo hilo hasa wakenya waliojaza mifugo yao upande wa Loliondo Tanzania.
 
Hili gazeti sio Mungu bali limepelekewa taarifa na Andiko hili kutoka kwa Beneficially wa eneo hilo hasa wakenya waliojaza mifugo yao upande wa Loliondo Tanzania.

Kenya haiwezi ku undermine Utawala wa Samia hata siku moja kwani ni wao!
 
Kama kinana karudi kwenye system unategemea nn
 
Naona sababu ya kuondolewa Lukuvi wizara ya ardhi na kuletwa Prince, pia nakumbuka kuondolewa kwa Kalemani na kuletwa mtoto wa mlamba asali ,yote hayo ni kwa ajili ya the gang walambe asali tena kwa dili za kifisadi kwenye vitalu vya gesi,Tanesco na kwa mwarabu, hivi mnadhani kwenye ishu ya huko kwa Wamasai walamba asali hawamo? hawa walamba asali ni genge hatari sana kwa kuhujumu uchumi na kujitajirisha hawatosheki, mara dili za bandari ya bagamoyo, mara wake zao wanataka nao viinua mgongo, yaani ni Timu chako changu.
 
Serengeti ni urithi wa Dunia usifananishe na maeneo mengine hayo.Pia tabia ya kuwinda wanyama inabadilisha tabia zao na kumuona mwanadamu ni adui, tofauti na kabla.
Huyo mwarabu atalipa pesa kiduchu kumaliza wanyama wetu
 
Uwe unatulia na kusoma habari kwa utulivu.
Kuna mahali kwenye hiyo habari pameongelewa Serengeti?
Maswali yako yanaweza kuwa ya hoja lakini msingi wote umepotea kwa kuzungumzia Serengeti ambayo haipo kwenye tatizo la msingi,hivyo hustahili kujibiwa chochote.
 
We si umemuona msomali karudishwa kupewa cheo chake cha awali ccm kumaliza tembo,japo jiwe alikuwa katili lakini raslimali zetu alizilinda.
 
Wewe unaongea kwa hisia zaidi kuliko facts! Hujui hata maana ya ecolojia! Hivi wewe unadhani idadi hiyo ya Wamasai ikiendelea kuishi hapo mbugani baada ya miaka 20 utawaona Wanyama pori hapo?!
Acheni ujinga na tafuteni maarifa.
 
Kama lukuvi katolewa ardhi pili mtoto wa mlamba asali kasogezwa kwenye ofisi ya zamani ya lukuvi ardhi zetu zitapona kweli.
 
wamasai wapewe elimu sana yaani mtu ana vaa shuka tatu bado tako liko wazi
 
Hivi vitu viwili vinawezwa kufanywa kwa pamoja kuwasaidia wamasai na kuendeleza utalii.

Unafikiri USA, UK, EU wangefanya huu uhuni kwa watu wao.

Lazima kuwa na Reasonable compensation
 

Hilo nalo NENO!
Mali inayochukuliwa na maendeleo unayoyasema ni mbingu na ardhi, havina uhusiano kabisa.
 
kwangu sijashtuka mana nilipata tarifa hizi hapa wakati huo ilikuwa dondoo kuwa kuna don anataka.
 
Hicho ulichoaema ni ukweli au ni tuhuma?
Au unarithisha vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…